Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Huyo ni muislam na waislamu kuoa sio lazima nwanakulitafuta mwanakulipata.Ni mwanaume aitwae Omary Issa (32) mkazi wa kata ya Twangoma wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam, akiwa anamfunga nepi mtoto wake wakike mwenye umri wa miezi tisa (9), ikiwa ni baada ya mama wa mtoto huyo kutoroka na kwenda kusikojulikana, siku chache tangu akutwe na ujumbe kwenye simu yake, ukidaiwa kuandikwa "muache mumeo njoo tuishi wote"
Ikumbukwe kuwa Omary ameeleza kuwa mwanamke huyo alitoroka na kumuacha wodini akiwa na mtoto huyo, na kwenda katika chumba walichokuwa wamepanga nakusomba vitu vyote vya ndani nakutokomea kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.
Aidha, katika chapicho la habari lililopita, Omari alieleza kuwa kutokana na chumba kutakiwa kulipiwa kodi huku vitu vya ndani vikiwa hamna, aliamua kukabidhi chumba hicho kwa mwenye nyumba, na kwenda kutafuta kazi kwenye shamba, ambapo huko ndipo alikabithiwa kibanda hichi pichani ili aishi na mwanae wakati akihudu shambani, akisubiri kulipwa elfu 60 kwa mwezi.
Hata hivyo, alieleza kuhusu mkasa wa rafiki aliyemtoa mkoani Mwanza kwa ahadi kuwa atamuunganisha na kazi ya kuendesha trekta, na baadae alipowasili Jijini Dar es Salaam hakupatikana tena, licha kuchukua shilingi laki tatu.
Katika tukio la mkewe, ameripoti a kituo cha polisi Twangoma na kupewa RB /284/ 2026.
Sababu ni vikoba.Ni mwanaume aitwae Omary Issa (32) mkazi wa kata ya Twangoma wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam, akiwa anamfunga nepi mtoto wake wakike mwenye umri wa miezi tisa (9), ikiwa ni baada ya mama wa mtoto huyo kutoroka na kwenda kusikojulikana, siku chache tangu akutwe na ujumbe kwenye simu yake, ukidaiwa kuandikwa "muache mumeo njoo tuishi wote"