Always mwizi hufikiri kila mmoja ni mwizi kama yeye!This doesn't come from experience,but it come from reality!
hiyo ni 1,na kutokujiamini huchangia pia hasa kutokana na ulichokisema or else too much jeoulous which result into low self esteem..
Kweli kabisa hakuna kitu ninachoogopa kama kupekua sim ya patna,kichwa changu kina mambo mengi yananitosha kuliko kuongeza presha..kama kumbamba utambamba tu one dayKuna mdada alienda kwa mpenz wake alipofika akazima simu. Mpenzi wake kwenda kuoga huku nyuma akachukua simu yake akakuta nayo imezimwa. Ngoma droo!
Sababu iliyomfanya mdada azime ni kuwa anachati na watu wengi ujinga ujinga. Inawezekana na mkaka ikawa hvyo hvyo au akawa na sababu zingine.
Hakuna sababu ya kujipa presha kwa kupekuana simu.
Unaweza pata presha bure usiyoitegemeaKweli kabisa hakuna kitu ninachoogopa kama kupekua sim ya patna,kichwa changu kina mambo mengi yananitosha kuliko kuongeza presha..kama kumbamba utambamba tu one day