Nini Sababu?

Nini Sababu?

Anfaal

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
1,154
Reaction score
116
Mtu aliyopo kwenye uhusiano kuwa na wasiwasi na mawasiliano ya mwenzake, inaweza kuwa ni:
1. yeye hachiti kwahiyo anataka ahakikishe na mwenzie hacheat?
2. anachiti ila anadhani na mwenzie hachit?
3. Ni kwamba yupo insecure?
Majibu ya maswali haya yanaweza kutokana na life experience yako au ya unayemfaham.
 
Always mwizi hufikiri kila mmoja ni mwizi kama yeye!This doesn't come from experience,but it come from reality!
 
hiyo ni 1,na kutokujiamini huchangia pia hasa kutokana na ulichokisema or else too much jeoulous which result into low self esteem..
 
Wivu ni udhaifu mwingine kwa mwanadam ambalo ni tatizo kubwa sana!
 
Always mwizi hufikiri kila mmoja ni mwizi kama yeye!This doesn't come from experience,but it come from reality!
<br />
Kwahiyo yule asiyechit kamwe hawezi kuhangaika na mawasiliano ya mwenzi wake?
 
Ni wivu,lakini wakati mwingine mtu anapokuwa si mwaminifu,hudhani na mwenzie ni hivyo hivyo.
 
Kwahiyo kuwa na wasiwasi na simu au email ya mwenzio hakiwezi kuwa kipimo cha uaminifu?
 
Kuna mdada alienda kwa mpenz wake alipofika akazima simu. Mpenzi wake kwenda kuoga huku nyuma akachukua simu yake akakuta nayo imezimwa. Ngoma droo!
Sababu iliyomfanya mdada azime ni kuwa anachati na watu wengi ujinga ujinga. Inawezekana na mkaka ikawa hvyo hvyo au akawa na sababu zingine.
Hakuna sababu ya kujipa presha kwa kupekuana simu.
 
Anacheat na ana hofu kuwa anayoyafanya na mwenzie ndo anafanya
 
Kutokujiamini tu, tena usipokuwa na habari na simu mwenyewe ndio ataanza kujiuliza mara mbili
 
Kuna mdada alienda kwa mpenz wake alipofika akazima simu. Mpenzi wake kwenda kuoga huku nyuma akachukua simu yake akakuta nayo imezimwa. Ngoma droo!
Sababu iliyomfanya mdada azime ni kuwa anachati na watu wengi ujinga ujinga. Inawezekana na mkaka ikawa hvyo hvyo au akawa na sababu zingine.
Hakuna sababu ya kujipa presha kwa kupekuana simu.
Kweli kabisa hakuna kitu ninachoogopa kama kupekua sim ya patna,kichwa changu kina mambo mengi yananitosha kuliko kuongeza presha..kama kumbamba utambamba tu one day
 
Unaweza pata presha bure usiyoitegemea
 
Kama huwezi kuwa muaminifu kwenye uhusiano bora uwe single i kuliko kuishi kwa wasiwasi na mashaka.
 
Back
Top Bottom