Nini Samia Scholarship,kuna Samia Housing Scheme

Nini Samia Scholarship,kuna Samia Housing Scheme

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Shirika la nyumba za Taifa (NHC) linatarajia kujenga nyumba za bei nafuu katika eneo la Kawe Tanganyika Packers jijini Dar es salaam, lengo likiwa ni kuwa na makazi bora na nafuu yatakayoendana na ongezeko la watu nchini.

Huu ni mwendelezo kwa miradi kutajwa jina la Rais katika mikakati ya kujiimarisha zaidi. Tanzania ni moja ya nchi zenye bahati mbaya sana,zimekuwa zinachagua viongozi wanajiimarisha wao zaidi badala ya kuimarisha taasisi na mamlaka.
 
Kwani Tanzania ni Dar es salaam tu?

Na yale malalamiko ya maendeleo ya vitu badala ya watu yamokomea wapi?
 
Back
Top Bottom