Nini Shida kwa hawa vijana wa 2000 na kuendelea

Nini Shida kwa hawa vijana wa 2000 na kuendelea

Screenshot_20210321-203453.png
Screenshot_20210321-203504.png
Looking young or old has got less to do with age....
Japo ni factor muhimu
Unaweza kuwa na umri mkubwa ukaonekana mdogo vile vile unaweza kuwa na umri mdg ukaonekana mzee Kuna factor nyingi Sana..
 
Basi tatizo ni sisi wazazi
Wazazi na jamii kiujumla wazazi kuwa busy na kazi na kusahau watoto, naanza kuwaelewa wazee wetu walioa mama wa nyumbani lengo atunze familia kwa ukaribu.
 
Kuna ukweli mkuu....watoto wa 2000's wanakua haraka na kitabia ni zero kabisa...eti wanajiita kizazii cha Iphone
 
Miaka hii ndo kuna michakula ya kisasa

Mtoto anakuwa kama broiler

Yaani unakuta binti wa 2005 anafaa kulika kabisa
Inawezekama. Imagine wazee na vijana wa zamani walivyokuwa na uwezo mkubwa wa kutembea umbali mrefu kwa maguu kwenda kutekeleza majukumu na kurudi makwao wakiwa fit na kuendelea na mambo mengine bila uchovu.
 
Back
Top Bottom