mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
wakuu habar zenu, since i broke up with my girl nimekuwa napenda kula vitu vyenye test ya kusisimua to relax my mind..
kutafuna majan ya mwarobaini hasa nyakt za jioni
kula vitunguu swaumu
kutafuna tangawiz
kutafuna karafuu iliyokaushwa
nimekuwa mtumiaji wa hivyo vitu kwa muda wa miezi 3 sasa, je kuna madhara yoyote kiafya?
am worried nisije nkawa teja.