OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwani TP Mazembe iko na Mkia kundi moja?Sijafa moyo na hatujafa moyo,tuna imani tutaingia robo fainali,kama sio leo basi kesho.
Constantine wamewatandika TP Mazembe 3G wakiwa kwao. Nyumbani ni nyumbani tu.
Nakubali kuwa beki yetu jana ilikuwa dhaifu ila tutarekebisha na kutinga robo.
Acha kujipa moyo ...mtawashiwa moto mpaka mtie akili na mtarudi kwenu na pointi 3 hizohizoUshindi Upo
Hakuna Tatizo Lolote Yale Ni Matokeo Tu
Hawa Mashabiki Wa Mbabane Hawatutishi
Weka msisitizo Mohammed Hussein kachomesha sana jana. Dogo bado muoga na anapapara sana pindi apatapo mpira.Sijafa moyo na hatujafa moyo,tuna imani tutaingia robo fainali,kama sio leo basi kesho.
Constantine wamewatandika TP Mazembe 3G wakiwa kwao. Nyumbani ni nyumbani tu.
Nakubali kuwa beki yetu jana ilikuwa dhaifu ila tutarekebisha na kutinga robo.
Sio Mohamed Hussein tu Jana ilithibitika kuwa Wawa hawezi kumuweka benchi dogo Mlipili basi tu mizengwe ya timu za bongoWeka msisitizo Mohammed Hussein kachomesha sana jana. Dogo bado muoga na anapapara sana pindi apatapo mpira.
Kwenye anga za kimataifa dogo bado sana,ana mapungufu mengi mno ya kiuchezaji.
Vitabu vya dini vina maneno matamu sana; "BASI FARIJIANENI KWA MANENO HAYO"Sijafa moyo na hatujafa moyo,tuna imani tutaingia robo fainali,kama sio leo basi kesho.
Constantine wamewatandika TP Mazembe 3G wakiwa kwao. Nyumbani ni nyumbani tu.
Nakubali kuwa beki yetu jana ilikuwa dhaifu ila tutarekebisha na kutinga robo.
Sijafa moyo na hatujafa moyo,tuna imani tutaingia robo fainali,kama sio leo basi kesho.
Constantine wamewatandika TP Mazembe 3G wakiwa kwao. Nyumbani ni nyumbani tu.
Nakubali kuwa beki yetu jana ilikuwa dhaifu ila tutarekebisha na kutinga robo.