Nini Simba, huko TP Mazembe wamekula 3-0

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Sijafa moyo na hatujafa moyo,tuna imani tutaingia robo fainali,kama sio leo basi kesho.

Constantine wamewatandika TP Mazembe 3G wakiwa kwao. Nyumbani ni nyumbani tu.

Nakubali kuwa beki yetu jana ilikuwa dhaifu ila tutarekebisha na kutinga robo.
 
Costantine waarabu wale na Mazembe imechuja kaka... Simba jana sio beki tu hata middle ilizidiwa kabisa.. Winga hazitembei yaani dolo sana jana
 
kwa hyo TP MAZEMBE kwenye kundi lenu wamekuwa wangapi na nyinyi mmekuwa wangap
 
Soma hiyo@@@@@@
tapatalk_1547927743440.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushindi Upo
Hakuna Tatizo Lolote Yale Ni Matokeo Tu
Hawa Mashabiki Wa Mbabane Hawatutishi
 
Kuna nchi moja hivi ilikua inatest mitambo ya 5g .........lakini chaajabu iliuwa ndege waliokua angani .....ni hatari 5g ...acha waishie 3g

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijafa moyo na hatujafa moyo,tuna imani tutaingia robo fainali,kama sio leo basi kesho.

Constantine wamewatandika TP Mazembe 3G wakiwa kwao. Nyumbani ni nyumbani tu.

Nakubali kuwa beki yetu jana ilikuwa dhaifu ila tutarekebisha na kutinga robo.
Weka msisitizo Mohammed Hussein kachomesha sana jana. Dogo bado muoga na anapapara sana pindi apatapo mpira.
Kwenye anga za kimataifa dogo bado sana,ana mapungufu mengi mno ya kiuchezaji.
 
Sio Mohamed Hussein tu Jana ilithibitika kuwa Wawa hawezi kumuweka benchi dogo Mlipili basi tu mizengwe ya timu za bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijafa moyo na hatujafa moyo,tuna imani tutaingia robo fainali,kama sio leo basi kesho.

Constantine wamewatandika TP Mazembe 3G wakiwa kwao. Nyumbani ni nyumbani tu.

Nakubali kuwa beki yetu jana ilikuwa dhaifu ila tutarekebisha na kutinga robo.
Vitabu vya dini vina maneno matamu sana; "BASI FARIJIANENI KWA MANENO HAYO"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijafa moyo na hatujafa moyo,tuna imani tutaingia robo fainali,kama sio leo basi kesho.

Constantine wamewatandika TP Mazembe 3G wakiwa kwao. Nyumbani ni nyumbani tu.

Nakubali kuwa beki yetu jana ilikuwa dhaifu ila tutarekebisha na kutinga robo.

Simba inaweza kabisa kusonga mbele kwa kufanya yafuatayo:

-Kuacha majivuno, marino, kiburi na kejeli

- Magaxeti ya Tanzania kuacha kuandika kishabiki na baadala yake yaandike habari za kiuchunguzi kuhusu uwezo wa timu pinzani na mbinu zao uwanjani

Viongozi wa Simba waache kebehi, dharau na kiburi wasikilize mawaidha ya wataalamu wa soka

Viongozi wa Simba na msemaji wao wajenge mshikamano wa kitaifa waache dharau kwa timu pinzani za ndani kwa kuropoka hili na lile

TFF iwasaidie Simba kwa kuwaandaa kisaikolojia na kuacha kuwafanya wajione kuwa hao Simba ndiyo bora kuliko timu nyingine Tanzania

Viongozi wa serikali wenye mapenzi na Simba waache tabia ya ovyo na ya kibaguzi kwa wapenzi wa timu nyingine...wawe na mapenzi ya kiungwana
 
Back
Top Bottom