Nini siri ya mwanauke kukata kiuno au kukatika wakati achezapo ngoma

Nini siri ya mwanauke kukata kiuno au kukatika wakati achezapo ngoma

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Kuuliza si ujinga.
Nauliza kutokana na kichwa cha habari kuna siri gani wadada wanapokata au wanapoonekana wanacheza ngoma,huwaga kama wanashindana ,sielewi ndio kuwa uyaone au uyajue.
Na mara nyingi wanawavutia watazamaji wengi tu.kuna siri gani ,wataalamu tuelimisheni.
 
Nikiongezea kuna wanao kata kwa haraka kupita maelezo na kuna wanaokwenda taratibu,tupeni maalumati ili tuelewe kinachoendelea.
 
Ni ngoma ipi unayozungumzia mkuu? Ebu fafanua vizuri kabla hatujaleta comments
Ngoma hizi ngoma zipigwazo kwenye sheree ,arusi ,zengine hata wakuu wa nchi wanahuzuria wakiangalia ngoma za kienyeji na hata mziki,kuna mdau kachomekea hapo baikoko hawa wapo katika slow motion.
wale wana speediest ya kukatika dunia nzima tuseme fastest dancer kutoka Tahiti inaitwa farapu.
Yaani sio bure hawajitokezi wakatupa ushuhuda na usiri,basi kama kuna mwalimu atufaamishe usiri au uashirio wa mambo yao.
 
Mziki asili yake lazima mwili ucheze na mwili umeunganishwa na kiuno na pia kiuno kimebeba tako au wowowo ivyo basi mziki ukipigwa lazima mtu achezeshe kiuno ila binafsi yangu iyo kitu ni nature tu
 
Kuuliza si ujinga.
Nauliza kutokana na kichwa cha habari kuna siri gani wadada wanapokata au wanapoonekana wanacheza ngoma,huwaga kama wanashindana ,sielewi ndio kuwa uyaone au uyajue.
Na mara nyingi wanawavutia watazamaji wengi tu.kuna siri gani ,wataalamu tuelimisheni.
Ni swali jepesi , la msingi , na linafikirisha sana.
Nilisha wahi jiuliza swali la namna hii.
 
Back
Top Bottom