Itakuwa By cocoNi ngoma ipi unayozungumzia mkuu? Ebu fafanua vizuri kabla hatujaleta comments
Ngoma hizi ngoma zipigwazo kwenye sheree ,arusi ,zengine hata wakuu wa nchi wanahuzuria wakiangalia ngoma za kienyeji na hata mziki,kuna mdau kachomekea hapo baikoko hawa wapo katika slow motion.Ni ngoma ipi unayozungumzia mkuu? Ebu fafanua vizuri kabla hatujaleta comments
Ni swali jepesi , la msingi , na linafikirisha sana.Kuuliza si ujinga.
Nauliza kutokana na kichwa cha habari kuna siri gani wadada wanapokata au wanapoonekana wanacheza ngoma,huwaga kama wanashindana ,sielewi ndio kuwa uyaone au uyajue.
Na mara nyingi wanawavutia watazamaji wengi tu.kuna siri gani ,wataalamu tuelimisheni.