GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Zanzibar yuko Mwinyi, ukileta ujinga umekwisha hataki mchezo kwenye majukumu yake!!Watekaji wa Zanzibar wanaitwa "mazombie". Inadaiwa wamehamishiwa bara wote ili kulinda kiti cha ndugu yao aendelee kuchota hela. Ndiyo maana Zanzibar kuko shwari.
Wakati wimbi la utekaji likiwa limeshika kasi Tanganyika, hali ni tofauti kwa jirani yake, Zanzibar.
Zanzibar kumetulia . Zanzibar hakuna utekaji.
Nini siri ya Zanzibar kuendelea kuwa katika amani hata kipindi ambacho jirani yake, Tanganyika, inakabiliwa na maswaiaba ya watu kutekwa na hata wengine kuokotwa wamekufa baada ya kutekwa?
ILa si nchiKwani ssh ni Rais Zanzibar? Kule Si Wana Serikali na Rais wao?
hata wazanzibari wanasema Rais wao ni MbaraWatatekanaje wakati Kwa mara ya kwanza wametoa maRais wawili mmoja wa Jamhuri na mwingine wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar?
Wanasema charity begins home
Hili nimelisikia mara kadhaa nilipokuwa kulehata wazanzibari wanasema Rais wao ni Mbara
Hao nao waache maneno yao! Kwani anayoyafanya Mwinyi huko Zanzibar ni kwa manufaa ya Watanganyika au Wazanzibar?hata wazanzibari wanasema Rais wao ni Mbara
Kizimkazi
Basi tubadilishane,kila Rais arudi kwao kama watakubalaiana wenyewe pamoja na Mamlaka zao!!hata wazanzibari wanasema Rais wao ni Mbara
Chura mla watu yupo kaziniWakati wimbi la utekaji likiwa limeshika kasi Tanganyika, hali ni tofauti kwa jirani yake, Zanzibar.
Zanzibar kumetulia . Zanzibar hakuna utekaji.
Nini siri ya Zanzibar kuendelea kuwa katika amani hata kipindi ambacho jirani yake, Tanganyika, inakabiliwa na maswaiaba ya watu kutekwa na hata wengine kuokotwa wamekufa baada ya kutekwa?