Nini siri ya usalama wa Zanzibar?

Nini siri ya usalama wa Zanzibar?

Watatekanaje wakati Kwa mara ya kwanza wametoa maRais wawili mmoja wa Jamhuri na mwingine wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar?

Wanasema charity begins home
Hivi hii ndo mara ya kwanza!! Waswahili huku tunasema "wajinga ndio waliwao" na wakati mwingine huwa tunasema "usilolijua litakusumbua".
 
kuna wale wa uhamsho unawajua wewe..? wakiamua lao wale ni zaidi ya utekaji utasikia tu "Allah akbar" then 💥 hapo tunakutana ahera kusubiri mabikra 72,hivi vitu huwa havisemeleki babu!.
Huo nd upeo wako wa kufikiri sio? Pole sana
 
Wao wana ufiraji na ulawiti zaid
Bro kama hukupata mali ya kurithi kwa wazazi wako nakunasihi usirithi ufedhuli na ubaguzi na chuki. Hivi wale vijana walotumwa na afande wakamfanyia ukatili binti wa watu ni wazanzibari wale? Yule kijana alomchukuwa mtoto wake wa damu kabisa kutoka kwa mama yake akamfanyia ulawiti na udhalilishaji na mateso hadi kifo chake ni mzanzibari yule???!! Acha ufedhuli na chuki, hazitokufanya ukawa milionea wala ukaonekana kwamba ww ni hodar wa matusi kwa wenzako.
 
Hivi hii ndo mara ya kwanza!! Waswahili huku tunasema "wajinga ndio waliwao" na wakati mwingine huwa tunasema "usilolijua litakusumbua".
Unataka ukumbushie awamu ya pili?
 
Bro kama hukupata mali ya kurithi kwa wazazi wako nakunasihi usirithi ufedhuli na ubaguzi na chuki. Hivi wale vijana walotumwa na afande wakamfanyia ukatili binti wa watu ni wazanzibari wale? Yule kijana alomchukuwa mtoto wake wa damu kabisa kutoka kwa mama yake akamfanyia ulawiti na udhalilishaji na mateso hadi kifo chake ni mzanzibari yule???!! Acha ufedhuli na chuki, hazitokufanya ukawa milionea wala ukaonekana kwamba ww ni hodar wa matusi kwa wenzako.
Hasira yote ya nn mkuu.

Hilo lipo wazi kule kesi kubwa ni mtoto wa flani kaingiliwa na flani. Ndugu kamlawiti ndugu

Matukio makubwa kule hamnaaa ni issue ndogo ndogo na kama hizo.

Bara ndo uvunjajiii. Wizi wa mibunduki na kama umelichukua too personal litakuumiza.

Ukweli unauma
 
Wakati wimbi la utekaji likiwa limeshika kasi Tanganyika, hali ni tofauti kwa jirani yake, Zanzibar.

Zanzibar kumetulia . Zanzibar hakuna utekaji.

Nini siri ya Zanzibar kuendelea kuwa katika amani hata kipindi ambacho jirani yake, Tanganyika, inakabiliwa na maswaiaba ya watu kutekwa na hata wengine kuokotwa wamekufa baada ya kutekwa?
Hata Watu ambao wamekuwa wakihusika na masuala haya ya utekaji Watu au utesaji huko Zanzibar hasa nyakati za Uchaguzi wa Siasa wengi wao huwa wanatokea huku Tanganyika. Watu wanaoitwa kwa jina la "Mazombi" huko Zanzibar wengi wao ni Watanganyika.

A bitter Truth.
 
Unataka ukumbushie awamu ya pili?
Hapana, na sijasema ila nimeona ni maneno ya ajabu. Humu JF kila mtu anataka ajioneshe kuwa anajua lakini wengine sio wajuzi ila wanaigiza tu. Hufanya hivyo kwasababu wanavaa vizoro lakini huwa tunawajua kwa maandishi yao. Sina hakika kwamba na hili unalijua.
 
Mambo mengine tuyaache hapa hapa Kwa sababu za kiusalama

Furahia mvinyo wako huko ulipo 🥂
 
Back
Top Bottom