Hivi hii ndo mara ya kwanza!! Waswahili huku tunasema "wajinga ndio waliwao" na wakati mwingine huwa tunasema "usilolijua litakusumbua".Watatekanaje wakati Kwa mara ya kwanza wametoa maRais wawili mmoja wa Jamhuri na mwingine wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar?
Wanasema charity begins home
Hapana anameza watu kwa sababu hana meno!Chura mla watu yupo kazini
Huo nd upeo wako wa kufikiri sio? Pole sanakuna wale wa uhamsho unawajua wewe..? wakiamua lao wale ni zaidi ya utekaji utasikia tu "Allah akbar" then 💥 hapo tunakutana ahera kusubiri mabikra 72,hivi vitu huwa havisemeleki babu!.
Bro kama hukupata mali ya kurithi kwa wazazi wako nakunasihi usirithi ufedhuli na ubaguzi na chuki. Hivi wale vijana walotumwa na afande wakamfanyia ukatili binti wa watu ni wazanzibari wale? Yule kijana alomchukuwa mtoto wake wa damu kabisa kutoka kwa mama yake akamfanyia ulawiti na udhalilishaji na mateso hadi kifo chake ni mzanzibari yule???!! Acha ufedhuli na chuki, hazitokufanya ukawa milionea wala ukaonekana kwamba ww ni hodar wa matusi kwa wenzako.Wao wana ufiraji na ulawiti zaid
Unataka ukumbushie awamu ya pili?Hivi hii ndo mara ya kwanza!! Waswahili huku tunasema "wajinga ndio waliwao" na wakati mwingine huwa tunasema "usilolijua litakusumbua".
Hasira yote ya nn mkuu.Bro kama hukupata mali ya kurithi kwa wazazi wako nakunasihi usirithi ufedhuli na ubaguzi na chuki. Hivi wale vijana walotumwa na afande wakamfanyia ukatili binti wa watu ni wazanzibari wale? Yule kijana alomchukuwa mtoto wake wa damu kabisa kutoka kwa mama yake akamfanyia ulawiti na udhalilishaji na mateso hadi kifo chake ni mzanzibari yule???!! Acha ufedhuli na chuki, hazitokufanya ukawa milionea wala ukaonekana kwamba ww ni hodar wa matusi kwa wenzako.
Hata Watu ambao wamekuwa wakihusika na masuala haya ya utekaji Watu au utesaji huko Zanzibar hasa nyakati za Uchaguzi wa Siasa wengi wao huwa wanatokea huku Tanganyika. Watu wanaoitwa kwa jina la "Mazombi" huko Zanzibar wengi wao ni Watanganyika.Wakati wimbi la utekaji likiwa limeshika kasi Tanganyika, hali ni tofauti kwa jirani yake, Zanzibar.
Zanzibar kumetulia . Zanzibar hakuna utekaji.
Nini siri ya Zanzibar kuendelea kuwa katika amani hata kipindi ambacho jirani yake, Tanganyika, inakabiliwa na maswaiaba ya watu kutekwa na hata wengine kuokotwa wamekufa baada ya kutekwa?
Hapana, na sijasema ila nimeona ni maneno ya ajabu. Humu JF kila mtu anataka ajioneshe kuwa anajua lakini wengine sio wajuzi ila wanaigiza tu. Hufanya hivyo kwasababu wanavaa vizoro lakini huwa tunawajua kwa maandishi yao. Sina hakika kwamba na hili unalijua.Unataka ukumbushie awamu ya pili?
Mambo mengine tuyaache hapa hapa Kwa sababu za kiusalamaHapana, na sijasema ila nimeona ni maneno ya ajabu. Humu JF kila mtu anataka ajioneshe kuwa anajua lakini wengine sio wajuzi ila wanaigiza tu. Hufanya hivyo kwasababu wanavaa vizoro lakini huwa tunawajua kwa maandishi yao. Sina hakika kwamba na hili unalijua.