Wewe unaendesha gari ganiKatika pitapita wadau apa mjini nimeona kitu fulani cha tofauti kidogo kma kwa c wakazi wa dar yani ukikaa foleni kila baada ya gari moja au mbili inafata toyota IST.. Ivi ili ongezeko la hizi gari ni ugumu wa maisha watu hawana hela ya mafuta ya kuendesha gari nyingine... kwan nackia inakunywa kama boxer... Maoni yenu wadau
Full tank 60000/-Bila kusahau passo
Bila kusahau passo
Ni kweli nchi kama, china na india wanahitaji usafiri ambao ni rahisi kuendesha kwa kipato kidogo, sasa sisi watanzania pamoja na umaskini wetu tunataka pajero, lazima ubadili jinsi ya kufikiria
Soma hapa , utagundua siri yenyewe .Katika pitapita wadau apa mjini nimeona kitu fulani cha tofauti kidogo kwa wakazi wa Dar. Yani ukikaa foleni kila baada ya gari moja au mbili inafata toyota IST.
Hivi hili ongezeko la hizi gari ni ugumu wa maisha watu hawana hela ya mafuta ya kuendesha gari nyingine?
Kwani nasikia inakunywa kama boxer..
Maoni yenu wadau