Nini siri ya watu wengi kumiliki Toyota IST?

Nini siri ya watu wengi kumiliki Toyota IST?

cae52a1e4eed6fde555e7a908f0c49ca.jpg
we si unaona kalivyokaa utamu utamu hasa haka
 
IT ni nzuri na economic, ni gari la kimaskini sana, kama unazo sio nzuri kutumia gari hii kwa kuwa ni size ya madem tuuuu.
 
ni gari nzuri kwa movement za mjini na ulaji wa mafuta ni mdogo na hata size, unaweza pack popote ,spea ziko nyingi ..ni kweli IST zimekua nyingi sana na za kila rangi
bei zake haizizidi 10 m..kwenye show room with full registration
 
Wanaume wa daslam mishahara yao wengi laki nne net, unataka waendeshe nn hapo???
 
ni gari nzuri kwa movement za mjini na ulaji wa mafuta ni mdogo na hata size, unaweza pack popote ,spea ziko nyingi ..ni kweli IST zimekua nyingi sana na za kila rangi
bei zake haizizidi 10 m..kwenye show room with full registration
Acha uongo wako, IST upate kwa millioni 10 show room ya wapi?
 
ni gari nzuri kwa movement za mjini na ulaji wa mafuta ni mdogo na hata size, unaweza pack popote ,spea ziko nyingi ..ni kweli IST zimekua nyingi sana na za kila rangi
bei zake haizizidi 10 m..kwenye show room with full registration

Mkuu hapa ni changa la macho..aliyekuhadithia ni mwongo..hamna show room hapa bongo kwa sasa ambayo utaichukia IST kwa box 10...labda kwa mtu aliyeitumia kidogo.Hazijashuka kiasi hicho [emoji3]
 
Jitahidi nawe upate uache kupita pita barabarani na kuhesabu magari
Anywany the reason are:
  1. Economic fuel car, inatumia mafuta kidogo kwenda umbali mrefu
  2. Better price ukilinganisha na Vox, Nadia, Spacio, Rav 4 etc
  3. Kwenye yard yanauzwa bei nafuu maana zimekaa muda mrefu na zinaoza kutu
  4. Tabia ya watu kuingiliza, mtu akiona shoga yake anayo anamkomoa kwa yeye kununua pia
  5. Kuongezeka kwa uchumi kwenye mifuko ya baadhi ya watu
  6. Magari ya undegraduate, wakishapata kazi anachukua mkopo wa M10, anatumia M9 kununua mkoko ili watoto na masela waisome namba
 
Fuel economy ila dashboard yake mnashea na abiria wanakusaidia kusoma spidi otherwise ni babywalker nzuri kwa mishe za mjini kama hutoki nje ya mji mara kwa mara,recommended.
fafanua
 
Back
Top Bottom