Nini siri ya watu wengi kumiliki Toyota IST?

Toyota Crown gari inayo kuja kwa kasi ya ajabu, hizi gari ukienda Mwanza zimenunuliwa balaa pamoja na Mark X. Kitu kipya hicho kama unahitaji nicheki pm.
 
DSCN0980.JPG
habari ya mjini ni phoenix farmer new model
engine capacity 12cc
1 dynamo headlight
gross weight 27kg
max speed 120km/h
tyres all terrain A/T
rim size 18"
alloy rims
passengers 2-3

pia kuna mashine ingine
phoenix sports 1800
engine capacity 12cc
passenger 1
max speed 140km/h
tyres all terrain
transmission: manual 5 gear
gross weight 23kg

mashine hizi zimeuza sana kwenye showroom za Mwanza, Geita, Shinyanga, Tabora, Kahama na Kigoma.
zinauwezo wa kubebq gunia la mahindi bila shida
 
Huko igunga ndani kuna msela alifuata ushauri kama huu wako akanunua zake ka Honda fit ya 2003 muda wa kutafuta spear ndipo alikuja kujua kwa nini Toyota ni mkombozi wa wanyonge.

Spear alituma watu kucheki Mwz hakuna kitu mpk aanze kufuatilia spear huko Dar si mchezo,hapo ka usafiri kake kapo juu ya mawe tu.
 
Ist si moja ya gari nafuu, m13 is cheap? Passo m8 vits m8, ractis siipendi shape yake hata cjawah hata uliza bei yake
 
Kipato cha mtu hakiendani na uhalisia wa maisha ya Mtanzania wa Leo,
 
Mimi naipenda sana VW golf ila hizi story za spare spare hasa sisi tunaoishi Namtumbo huku ..hapana tunajikuta humo humo kwa IST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…