Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Niliamua kujiita hivi ili tu haya yatokee
1. Watu wanikumbuke kama nipo na nnaua kama kawaida
2. Watu wapate hofu kwa jinsi nnavyoonekana na anayeweza kwenda kuingia you tube aone jinsi nnavyofanya kazi
3. Niwatishe wale wote wanaopenda kugegeda /kugegedwa bila condom
4. Kupunguza rate ya michepuko hasa ukikumbuka suala la uwepo wangu
5. Vyote kwa vyote lengo langu kusema no to unsafe and adultery hasa kwa wasio na ndoa
ASHUKURIWE MUANZISHA UZI
 
Mie jina langu linatokana na lugha yangu ya asili. Ni aina ya nafaka niliyokuwa nikiipenda sana utotoni. Kutokana na namna nilivyoipenda, nikawa naitwa jina hilo. Avatar yangu imetokana na namna navyopenda kuendesha gari kwa spidi kali.
 
Duuh!!! Strong message.....ujumbe umefika, asante sana kaka.
 
Mie jina langu linatokana na lugha yangu ya asili. Ni aina ya nafaka niliyokuwa nikiipenda sana utotoni. Kutokana na namna nilivyoipenda, nikawa naitwa jina hilo. Avatar yangu imetokana na namna navyopenda kuendesha gari kwa spidi kali.

Jina lako linanikumbusha jamaa yangu Eric Mwasulama, mtu wa Tukuyu huyu, asee huko yanatoka majitu yaliyoshiba kweli kweli😱
 
mimi bwana tabia zangu naona toka mdogo nilikuwa mzushi mzushi tu na nishakula makonzi yakutosha utotoni,kuna mzee mmoja aliwahi kusema huyu mbilikimo akisema maneno kumi shika moja tu sababu kanaonekana nikazushi tu ka mambo,basi toka siku hiyo mtaani wakawa wananiita kazushii na unayemwona hapo kwenye avatar hana tofauti na jina langu .
 
Nimpenzi mkubwa wa novels....Jina nalotumia limetoka kwa Mario Puzo author wa The Godfather ikiwa ni jina la moja ya novel zake (The Last Don).......napenda miziki ya latin amerika na Avatar ni ya jamaa anayeitwa Don Omar ambaye ni mmoja wa wanamuzik wa kilatino.
 
Me ni kama Asante kwa mabaya yaliyonikuta since 2015, na avatar that is I was baada ya mabaya , nilikua niko na phone day yote .. totally confused

Pole ndugu, usivunjike moyo....life is an endless battle, each day we write a story wich help other to learn or develop katika mambo flani, iwe mbaya or nzuri!! Maisha yetu si maisha yetu peke yetu....

Amen
 
Nimpenzi mkubwa wa novels....Jina nalotumia limetoka kwa Mario Puzo author wa The Godfather ikiwa ni jina la moja ya novel zake (The Last Don).......napenda miziki ya latin amerika na Avatar ni ya jamaa anayeitwa Don Omar ambaye ni mmoja wa wanamuzik wa kilatino.

Hatimae nimepata mpenzi wa novels
 
Nashangaa sana kuona bado sijafikia kwenye 'lever' ya umaarufu jf na wakati hata top 20 nipo. Hahahahaaa......
Inabidi watu maarufu jf watupe 'siri ya urembo' inakuaje mpaka unafikia huko?
Wakongwe hawataki kuwasikia Makapuku ndo tatizo ....hiyo ni list ya makapuku wenye point 113 halafu wana malike ya kufa mtu

List ya wakongwe imeegemea wingi wa posts tu.....

Kwahiyo ukiwa kwenye TOP 20 ya makapuku usitegemee kupanda ngazi ni kushuka tu 7bu makapuku wapya wanareplace list....unavyozidi kupost ndo ratio ya likes inashuka
 
Hapo ndo Makapuku wanapopunguza nguvu ya kuendelea kuwa imara.
 
Back
Top Bottom