Ili wasipate shida kuniuliza siku nyingine....ila avatar nilibadilisha Mara mbili wakanigomeaRaisi wa makapuku jf kafunguka
Niliamua kujiita hivi ili tu haya yatokee
1. Watu wanikumbuke kama nipo na nnaua kama kawaida
2. Watu wapate hofu kwa jinsi nnavyoonekana na anayeweza kwenda kuingia you tube aone jinsi nnavyofanya kazi
3. Niwatishe wale wote wanaopenda kugegeda /kugegedwa bila condom
4. Kupunguza rate ya michepuko hasa ukikumbuka suala la uwepo wangu
5. Vyote kwa vyote lengo langu kusema no to unsafe and adultery hasa kwa wasio na ndoa
ASHUKURIWE MUANZISHA UZI
Mie jina langu linatokana na lugha yangu ya asili. Ni aina ya nafaka niliyokuwa nikiipenda sana utotoni. Kutokana na namna nilivyoipenda, nikawa naitwa jina hilo. Avatar yangu imetokana na namna navyopenda kuendesha gari kwa spidi kali.
Lakini langu siyo TukuyuJina lako linanikumbusha jamaa yangu Eric Mwasulama, mtu wa Tukuyu huyu, asee huko yanatoka majitu yaliyoshiba kweli kweli😱
Nashangaa sana kuona bado sijafikia kwenye 'lever' ya umaarufu jf na wakati hata top 20 nipo. Hahahahaaa......Na ww upo Top 20....
TOP 10 makapuku tishio JF
Me ni kama Asante kwa mabaya yaliyonikuta since 2015, na avatar that is I was baada ya mabaya , nilikua niko na phone day yote .. totally confused
Nimpenzi mkubwa wa novels....Jina nalotumia limetoka kwa Mario Puzo author wa The Godfather ikiwa ni jina la moja ya novel zake (The Last Don).......napenda miziki ya latin amerika na Avatar ni ya jamaa anayeitwa Don Omar ambaye ni mmoja wa wanamuzik wa kilatino.
Wakongwe hawataki kuwasikia Makapuku ndo tatizo ....hiyo ni list ya makapuku wenye point 113 halafu wana malike ya kufa mtuNashangaa sana kuona bado sijafikia kwenye 'lever' ya umaarufu jf na wakati hata top 20 nipo. Hahahahaaa......
Inabidi watu maarufu jf watupe 'siri ya urembo' inakuaje mpaka unafikia huko?
Tengenezeni bond walau ya Vander wo forces kama mkishindwa covalent au ionicStory yako almost ifanane na yangu
Kariibu Nahrene.Hatimae nimepata mpenzi wa novels
Hapo ndo Makapuku wanapopunguza nguvu ya kuendelea kuwa imara.Wakongwe hawataki kuwasikia Makapuku ndo tatizo ....hiyo ni list ya makapuku wenye point 113 halafu wana malike ya kufa mtu
List ya wakongwe imeegemea wingi wa posts tu.....
Kwahiyo ukiwa kwenye TOP 20 ya makapuku usitegemee kupanda ngazi ni kushuka tu 7bu makapuku wapya wanareplace list....unavyozidi kupost ndo ratio ya likes inashuka