Daah nimejifunza mengi pitia uzi huu, cjui uliwaza nini!
Hapo nimekusoma, japo pia umekutana na maudhi ya kamsemo cha (wanaume wa dar)Its a fruke bro!! Ila nna story juu ya huu uzi. Kuna mtu nimemjua for 2 years, hajawai kuchange picha yake whatsapp, juzi ndio nilikuwa naye ikabidi nimuulize and he gave me a story ambayo nilibaki mdomo wazi, then it hit me, n i thot what do people real hide nyuma ya picha zao na majina yao humu JF. As u see, people speak things and we learn things, everything is there for a reason kaka.
Nipo!!! Ni wew niniNimei-quote tu kwa huruma ya huyo 'mkaka' teeehe teeehe cute wangu upo?
nsoga dugu, ja wiza... hahaha, mimi ni wa ussoke mnyanyembe au mgalanganza....kule katunguru .... TBR hii kaka karibu UgandaJa milimo?! Mie ni wa nzega kijiji cha busondo.....pale ambapo vitunguu hulimwa sana, nice to meet u distant kinπ
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] acha hizo basi, mambo ya JF haya.Mkuu kumbe huku upo update zaidi kuliko kule ..... anyway mtiririko wako uko vizuri sana
Jina langu originates from cartoon ya "Finding Nemo". I loved loved that movie. In fact, it's the only movie that I saw twice in a theatre. I used to hear people doing that and I could never understand. Why the need to waste money? Si usubiri itoke on pay per view, cd, tapes or what have you, I would argue! ................................... Avatar ni miss Ethiopia
Mmmm real?Ndioπ³π³
Mbona kama bradhamen nawe ulisema umeangalia picha za jemsi bondi enzi hizo vhs napatwa na mashaka kidogo au huyo mjukuu wako umempointiHahaaaa. na hiyo avatar yako ndo sura yako?
Huyo ndo mimi kuu
Woooohhhh!!! Nice oneAvatar na jina linawakilisha upenzi wangu kwa katuni niliamua kutumia jina Hilo sababu katuni hiyo inabeba jina langu pia. Ila I'm sad [emoji17] [emoji17] sababu nililikosea badala ya ed edd and eddy nikaliandika hivyo.
Zile figisufigisu za ku-edit jina mwenyewe kushindwa nikawaweka ed edd and eddy kwenye avatar kuwawakilisha my craziest boy's
Ninongo'neze mimi tu asisikie mwingine Edward or Edwin? Hata tu kule kwa waziri mkuu...Avatar na jina linawakilisha upenzi wangu kwa katuni niliamua kutumia jina Hilo sababu katuni hiyo inabeba jina langu pia. Ila I'm sad [emoji17] [emoji17] sababu nililikosea badala ya ed edd and eddy nikaliandika hivyo.
Zile figisufigisu za ku-edit jina mwenyewe kushindwa nikawaweka ed edd and eddy kwenye avatar kuwawakilisha my craziest boy's
Mbona kama bradhamen nawe ulisema umeangalia picha za jemsi bondi enzi hizo vhs napatwa na mashaka kidogo au huyo mjukuu wako umempointi
Nataka nichukue nafasi yake ya un'ang'anizi kwa kweliNipo!!! Ni wew nini
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] acha hizo basi, mambo ya JF haya.
Halafu nimeona id kama hiyo ila ina herufi ndogo
Ngoja nikupe homework hapo hamna hata moja ukipata nahamia kwenye red yenu [emoji41]Ninongo'neze mimi tu asisikie mwingine Edward or Edwin? Hata tu kule kwa waziri mkuu...