Nini suluhisho la ganzi

Joined
Oct 14, 2017
Posts
84
Reaction score
51
JamNi napenda kujua sigara na pombe zina athari gAni kwa mtu anAye sumbuliwA nA ganzi? Na dawa gani inaweza msaidia mtu aweze ku recover
 
Mimi aunt yangu alitumia bidhaa za edmark alikuwa na ganzi yaani miguu ilikiwa inakufa ganzi na kuuma sana ila sasa hivi hilo tatizo limeisha
Naomba kujua:
~Jina la bidhaa/Dawa aliyotumia Auntie wako.

~Ikiwezekana, nitashukuru kujua inagharimu kiasi gani na

~Inapatikana wapi?

Natanguliza shukrani kwa majibu
 
JamNi napenda kujua sigara na pombe zina athari gAni kwa mtu anAye sumbuliwA nA ganzi? Na dawa gani inaweza msaidia mtu aweze ku recover
Kwanza sigara na pombe zina madhara makubwa sana katika mwili wa binadamu, karibia kila system ya mwili huathiriwa na vitu hivyo. Kuacha ni bora zaidi.
Ganzi husababishwa na mambo mengi lakini kitaalamu ni kushindwa kwa mishipa ya fahamu kupitisha mawasiliano kama inavyotakiwa.
Dawa: anaeza kutumia neural support ama vitamin B6
 
Thanx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…