kabagambe rubajuma
Member
- Oct 14, 2017
- 84
- 51
JamNi napenda kujua sigara na pombe zina athari gAni kwa mtu anAye sumbuliwA nA ganzi? Na dawa gani inaweza msaidia mtu aweze ku recover
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu na huku upo pia!?pole mkuu ngoja wajuzi waje
ndioomkuu na huku upo pia!?
Naomba kujua:Mimi aunt yangu alitumia bidhaa za edmark alikuwa na ganzi yaani miguu ilikiwa inakufa ganzi na kuuma sana ila sasa hivi hilo tatizo limeisha
Kwanza sigara na pombe zina madhara makubwa sana katika mwili wa binadamu, karibia kila system ya mwili huathiriwa na vitu hivyo. Kuacha ni bora zaidi.JamNi napenda kujua sigara na pombe zina athari gAni kwa mtu anAye sumbuliwA nA ganzi? Na dawa gani inaweza msaidia mtu aweze ku recover
ThanxKwanza sigara na pombe zina madhara makubwa sana katika mwili wa binadamu, karibia kila system ya mwili huathiriwa na vitu hivyo. Kuacha ni bora zaidi.
Ganzi husababishwa na mambo mengi lakini kitaalamu ni kushindwa kwa mishipa ya fahamu kupitisha mawasiliano kama inavyotakiwa.
Dawa: anaeza kutumia neural support ama vitamin B6