Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine hamziwekei recommended coolant badala yake mmekua mnazibugia maji kitu ambacho si sahihi hivyo ukiwa unasubilia majibu ya kitaalamu hebu jiulize umekua ukiiwekea coolant gari yako kwa ajili ya kupooza engine au umekua ukiibwagia maji? TafakariNimeona watu wengi wakilalamika Noah kuchemsha mpaka kusababisha injini bloku kupanuka, kubadili injini au kupiga pasi sijui cylinder head. Suluhisho lake ni nini kwa hizi gari kuchemsha?
View attachment 1281404
Brother hili ni jibu zuri sana kwa mtumia magari. Haya magari ya kisasa, usipoweka recommended coolant, lazima gari ichemke.Pengine hamziwekei recommended coolant badala yake mmekua mnazibugia maji kitu ambacho si sahihi hivyo ukiwa unasubilia majibu ya kitaalamu hebu jiulize umekua ukiiwekea coolant gari yako kwa ajili ya kupooza engine au umekua ukiibwagia maji? Tafakari
Kibaya zaidi watanzania tumekua na kasumba ya kupenda vitu vya bei rahisi kuna coolant zenye viwango vya kimataifa kama total, castrol oryx ambazo zinatengenezwa kwenye mazingira yenye kuaminika wa users lakn hawa wenye magari yao kuziweka hizo imekua mtihani na badala yake wanataka hizi ambazo ni bei rahisi na hazina kiwango kizuri cha kupooza, wengi wao wanaomiliki magari wanathamini mafuta tu na kusahau vitu vingine kama oil na coolant. Mzee niseme tu gari ni engine so ukikosea kuweka ambacho umeambiwa na watengenezaji jua gari yako itakuzingua na utaichukiaBrother hili ni jibu zuri sana kwa mtumia magari. Haya magari ya kisasa, usipoweka recommended coolant, lazima gari ichemke.
Na sio unaweka hivi vicoolant vya bei rahisi vyenye rangi ya ajabu ajabu. Coolant nzuri inakuwa kama ina mafuta kwa mbali ukisugua na vidole.
Pole sana, unanunua gari ya milioni 15 unashindwa kuweka kifaa cha laki moja kinachokaa zaidi ya miezi 5? Badala yake unaweka cha elfu 10 kinachoenda kuharibu gari yako? Penda kutumia vitu ambavyo watengeneza magari wameshauri na ndio maana kila spare ya gari ina no yake hivyo weka ambayo inatakiwa au iliyoshauliwa kuwekwa endapo kutatokea dharuraYawezekana
Jitahidi uangalie water pump, cylinder head gasket na engine Kwa ujumla..
Ingawa hayo Magari sio imara Sana ndiyo maana wabongo wengi waliogopa kuyanunua.kama umenunua Kwa mtu basi itakubid ufanye diagnosis Kwenye garage yenye Akili
Body naona kubwa alafu engine ndogo(cc 1990) engine za 1AZ zimetumika Kwenye Toyota caldina,Camry hata Kwa size ya zao zinafaa kabisa tofauti na voxy ambayo utapakia mzigo Mkubwa kwaajili ya body yake bila kuzangatia ukubwa wa engineNafikri na body inachangia kwa sababu hizo engine zipo kwenye gari Kama Nadia,Gaia,hata baadhi ya Rav 4 lakini hazina tabu hii
Haaaa ndg sio kasumba ppp ndo shida purchasing power parityKibaya zaidi watanzania tumekua na kasumba ya kupenda vitu vya bei rahisi kuna coolant zenye viwango vya kimataifa kama total, castrol oryx ambazo zinatengenezwa kwenye mazingira yenye kuaminika wa users lakn hawa wenye magari yao kuziweka hizo imekua mtihani na badala yake wanataka hizi ambazo ni bei rahisi na hazina kiwango kizuri cha kupooza, wengi wao wanaomiliki magari wanathamini mafuta tu na kusahau vitu vingine kama oil na coolant. Mzee niseme tu gari ni engine so ukikosea kuweka ambacho umeambiwa na watengenezaji jua gari yako itakuzingua na utaichukia