Nini suluhisho la Noah Voxy kuchemka?

Nini suluhisho la Noah Voxy kuchemka?

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,931
Nimeona watu wengi wakilalamika Noah kuchemsha mpaka kusababisha injini bloku kupanuka, kubadili injini au kupiga pasi sijui cylinder head. Suluhisho lake ni nini kwa hizi gari kuchemsha?

Noah engine.png
 
View attachment 1281404
Pengine hamziwekei recommended coolant badala yake mmekua mnazibugia maji kitu ambacho si sahihi hivyo ukiwa unasubilia majibu ya kitaalamu hebu jiulize umekua ukiiwekea coolant gari yako kwa ajili ya kupooza engine au umekua ukiibwagia maji? Tafakari
 
Brother hili ni jibu zuri sana kwa mtumia magari. Haya magari ya kisasa, usipoweka recommended coolant, lazima gari ichemke.

Na sio unaweka hivi vicoolant vya bei rahisi vyenye rangi ya ajabu ajabu. Coolant nzuri inakuwa kama ina mafuta kwa mbali ukisugua na vidole.
 
Kibaya zaidi watanzania tumekua na kasumba ya kupenda vitu vya bei rahisi kuna coolant zenye viwango vya kimataifa kama total, castrol oryx ambazo zinatengenezwa kwenye mazingira yenye kuaminika wa users lakn hawa wenye magari yao kuziweka hizo imekua mtihani na badala yake wanataka hizi ambazo ni bei rahisi na hazina kiwango kizuri cha kupooza, wengi wao wanaomiliki magari wanathamini mafuta tu na kusahau vitu vingine kama oil na coolant. Mzee niseme tu gari ni engine so ukikosea kuweka ambacho umeambiwa na watengenezaji jua gari yako itakuzingua na utaichukia
 
Yawezekana
Pole sana, unanunua gari ya milioni 15 unashindwa kuweka kifaa cha laki moja kinachokaa zaidi ya miezi 5? Badala yake unaweka cha elfu 10 kinachoenda kuharibu gari yako? Penda kutumia vitu ambavyo watengeneza magari wameshauri na ndio maana kila spare ya gari ina no yake hivyo weka ambayo inatakiwa au iliyoshauliwa kuwekwa endapo kutatokea dharura
 
Jitahidi uangalie water pump, cylinder head gasket na engine Kwa ujumla..
Ingawa hayo Magari sio imara Sana ndiyo maana wabongo wengi waliogopa kuyanunua.kama umenunua Kwa mtu basi itakubid ufanye diagnosis Kwenye garage yenye Akili
 
Nafikri na body inachangia kwa sababu hizo engine zipo kwenye gari Kama Nadia,Gaia,hata baadhi ya Rav 4 lakini hazina tabu hii

Body naona kubwa alafu engine ndogo(cc 1990) engine za 1AZ zimetumika Kwenye Toyota caldina,Camry hata Kwa size ya zao zinafaa kabisa tofauti na voxy ambayo utapakia mzigo Mkubwa kwaajili ya body yake bila kuzangatia ukubwa wa engine
 
Kuna mtu alinambia kuna kifaa ukikifunga ndio suluhisho na bei yake ni 150,000 tu sijajua ni kipi.Huwa ananunua hizo Noah na kuzifanyia modii ya kifaa hicho then anauza.
 
Kaipige pasi hio cylinder head pia tumia coolant nzuri kuna gari hio ilikua ukiwasha A/C tu temperature hio..tukaenda kuipiga pasi cylinder head hadi leo zaidi ya miezi 9 ni mwendo wa kiyoyozi saa zingine naweka maji saa zingine coolant mashine imetulia ila mfano gari inachemsha ikishapooa kidogo ongeza coolant wakati imewaka sio wakati imezimwa
 
Kibaya zaidi watanzania tumekua na kasumba ya kupenda vitu vya bei rahisi kuna coolant zenye viwango vya kimataifa kama total, castrol oryx ambazo zinatengenezwa kwenye mazingira yenye kuaminika wa users lakn hawa wenye magari yao kuziweka hizo imekua mtihani na badala yake wanataka hizi ambazo ni bei rahisi na hazina kiwango kizuri cha kupooza, wengi wao wanaomiliki magari wanathamini mafuta tu na kusahau vitu vingine kama oil na coolant. Mzee niseme tu gari ni engine so ukikosea kuweka ambacho umeambiwa na watengenezaji jua gari yako itakuzingua na utaichukia
Haaaa ndg sio kasumba ppp ndo shida purchasing power parity
 
mimi nimewahi kumiliki gari hizi mara mbili na sijawahi kukutana na tatizo hilo, na gari hizi zinatumia engine ya 1az ambazo pia zinatumika katika gari nyingi tu kama vile RAV4, WISH, NADIA, NK. muhimu kufahamu ni kuwa engine hizi zina material ya aluminium hivyo ikichemsha ni rahisi kuharibika hivyo zingatia service na coolant iliyopendekezwa

all in all ni gari nzuri sana kwa family sio biashara
 
Back
Top Bottom