Nini suluhisho la tatizo la masoko la mazao ya kilomo Tanzania?

Nini suluhisho la tatizo la masoko la mazao ya kilomo Tanzania?

Joined
May 25, 2024
Posts
7
Reaction score
8
Unadhani kutokana na kuwepo kwa changamoto ya masoko kwa bidhaa pamoja na mazao kwa wakulima Tanzania nini linaweza kuwa suluhisho ukiachana kuilaaumu serikali je unaona vijana wana nafasi gani hapa
 
Unadhani kutokana na kuwepo kwa changamoto ya masoko kwa bidhaa pamoja na mazao kwa wakulima Tanzania nn linaweza kuwa suluhisho ukiachana kuilaaumu serikali je unaona vijana wana nafasi gani hapa
Kwanza tu ili uwe na uwakka tafuta masoko ww mwenyw weng wa vjna wa Tz ujanja ujanja mwng kwaiyo mzgo anayao peleka auendan na uhtaj wakmataifa sabab anafanya biashar mazoea ila changamoto n masoko ya kudum na mitaj ndyo kirus kkubwa
 
Mkuu hilo tatizo la soko la mazao ya wakulima ni kubwa kuliko tunavyodhani. Pamoja na jitihada za mkulima kutafuta soko mwenyewe ila lazima serikali itusaidie...tunasikia kuna njaa Zambia, Zimbambwe nk hilo soko Serikali ingetusaidia..
 
Serkali za Kiafrka azna hyo mda mkuu kaz yao kukimbilia mikod kbao lak njoo muulize kama 3x+4=y je y ningap ndy utajua hayo yaniisu kwa mfano nikuulze tu enz ya jiwe serkali kununua korosho ilishia wap ukilijua hy bx ustegemee wakutafutie soko
 
Back
Top Bottom