THE FIRST BORN JF-Expert Member Joined Apr 24, 2019 Posts 2,224 Reaction score 4,472 Mar 22, 2021 #1 Ningependa kuomba ufafanuzi kidogo nipate kuelewa hapa maana naamini humu kuna wanasheria wazuri Je hiki kifungu kinamaanisha nini? Section 26(a) (b)?
Ningependa kuomba ufafanuzi kidogo nipate kuelewa hapa maana naamini humu kuna wanasheria wazuri Je hiki kifungu kinamaanisha nini? Section 26(a) (b)?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 22, 2021 #2 Tafsiri isiyo rasmin: Msemaji wa mambo au shughuli za kiserikali ni mmoja tu na siyo vinginevyo.