Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
mmh kijana hujakua bado??usipende kusema ndoto yako in public!!sina mengi kwa hilo
Siku zako zi ukingoni!
Tengeneza mambo yako kiroho!
mmh kijana hujakua bado??usipende kusema ndoto yako in public!!sina mengi kwa hilo
Nimeota niko watu wengi sana waliokufa zamani, na mimi ndio kiongozi wao licha ya kwamba sijafa.
Nimejiuliza maswali mengi sana sijapata jibu
</p>Nimeota niko watu wengi sana waliokufa zamani, na mimi ndio kiongozi wao licha ya kwamba sijafa.</p>
<p>Nimejiuliza maswali mengi sana sijapata jibu
<p></p>
<p> </p>
Mmh! ..hapa sasa nadhani ushiriki wa Sheikh Yahya nao unahitajika jamvini, teh!
Inamaanisha kuwa hao watu wengi walio kufa ni ccm na wewe uliyehai ni CDM!
Hiyo ndoto ni yakweli kabisa kiongozi tena itatimia kabla ya 2015