Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Kwani kila ndoto lazima iwe na tafsiri?
Yes
Inaweza ikawa nzuri au mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kila ndoto lazima iwe na tafsiri?
hii ndoto kwa kawaida sio nzuri inatakiwa kama wewe mkristo iakatae kabisa hiyo hali kwa sababu ni roho ya mauti inakunyemelea wewe ,kuota watu waliokufa haitakiwi kabisa, mtu akishakufa amekufa basi, omba kataa
Nimeota niko watu wengi sana waliokufa zamani, na mimi ndio kiongozi wao licha ya kwamba sijafa.
Nimejiuliza maswali mengi sana sijapata jibu
Yamekuwa hayo??mmh kijana hujakua bado??usipende kusema ndoto yako in public!!sina mengi kwa hilo
Yamekuwa hayo??
Usha yapata?Mkuu nadhani yale mayai ya bundi unayotafuta yana uhusiano na ndoto yako. Nafikiri yana kazi maalumu hapa
HelloMimi nadhani utakuwa kiongozi soon, kwa either ofisini, nchini au whatever, kwa watu waliokuwa wamekata tamaa na wewe utakuwa nuru yao.