Nini tafsiri ya ndoto hii ?


umemaliza kbs kingine ninachokiona kwa ndugu yetu anataka kuwa kiongozi wa kanisa na sio mtumishi kitu ambacho kinamfanya ashindwe kuyafikia makusudi ya Mungu
 
Ni kweli kabisa yaani kwenda kinyume na kusudi la Mungu ndio chanzo cha kudumaa na kutotumika au kutumika vibaya kwa karama ambazo Roho Mt anatupa, na hii humfanya mtu kutumika chini ya viwango au kunia makubwa kuliko uwezo. Kaa chini ikibidi shirikisha wengine muombe Mungu akuonyeshe karama yako, kazi yako hayo ya nini utalipwa atajua Yeye aliyekuita. Ni katika kukaa chini na manabii wa kanisa la Antiokia ndipo Mt Paulo aliijua huduma yake na kuwaaga kina Petro aende kwa Mataifa. Lakini mwanzo ilikuwa migongano akileta watu wasiotahiriwa kwenye Sinagogi. Tuko pamoja mtumishi Mungu akuongoze.
umemaliza kbs kingine ninachokiona kwa ndugu yetu anataka kuwa kiongozi wa kanisa na sio mtumishi kitu ambacho kinamfanya ashindwe kuyafikia makusudi ya Mungu
 
mkuu, hapo funga n kuomba sana.mungu umwaminie atakupa jibu lake.
 
Habari Zenu
Leo Ningependa Kuwakumbusha Kuhusu Ndoto Kwanza Tambua Kuna Ndoto Aina Tatu..

Hizi:
1: Ndoto Itokayo Kwa M/mungu(saa Unapoingia Kulala Hadi Unapozinduka)

2: Ndoto Itokayo Kwa Shetani(saa unapozinduka kwa kustuka ukarudi kulala hadi utakapoamka)

3: Ndoto Itengenezwayo Na Ubongo (wakati kati unaanza kusinzia au unakaribia kuamka)

Tukianza Na Ndoto Ya Kutoka Kwa Mola... Hii Ni Ndoto Ile Unayoota Inakuwa Na Habari Ya Heri.. Ambayo Mara Nyingi Huwa Ni Ndoto Ya Kweli Na Huwa Ndoto Safi Yenye Kueleweka.. Inafaida Kama Utakua Msiri Mpaka Itakapo Timia Siku Hiyo Ndoto Hii Inasehemu Mbili Either Hai Au Hufa... Uhai Wa Ndoto Hii Huja Pale Unapokuwa Msiri Na Ndoto Yako Na Hutokea Kweli Mara 3 Bila Kuzidi Kuchunguzwa Kama Unauwezo Wa Kuhimili au Laa! utaota Mara Ya Kwanza Hutatilia Maanani, Ya Pili Pia Zitatokea Utakapoota Ya Tatu Huwa Ni Ya Kuskitisha Kidogo Na Usipoangalia Huo ndio Huwa Mwisho Wa Wengi Wenye Ndoto zinazotekea Kweli.. Hii Husababishwa Pale Unapoanza Kuhadithia Kwamba Nimeota Kitu Fulani Kikatokea na Fulani Kikatokea Hizi Ndoto Kukurudia Tena Sahau, Labda Baadae Sanah.... hizi hutokea Pale Ufanyapo Sana Ibada..

2: Ndoto Za Shetani:
Hizi Huotwa Kwa Vitimbi Vya Kujidanganya Nafsi Kwamba Unaota Umo Ndani Ya Jumba La Kifahari unafanya starehe Wakati Umelala Sakafuni Au Sehemu Ya Kawaida, Pili Waweza kuota upn na mschana au mvulana ambae unampenda na kutamani asiondoke na akiondoka au ukistuka wewe hubaki na huzuni na kuwaza sana ulishawah kumuona lakini wapi... Ama tatu unaweza uota unacheza,unafuraha,unapaa,unaota ndotoni umelala unaota yani ndoto inazaa ndoto,au unaota ww ni mdogo umetukuzwa aunaona majitu makubwa, au unaota unakabwa,unajinyea,au umeokota pesa... Hizi Hutokea Pale Unapojiweka Katika Hali Ya Uchafu Uchafu


3: Ama Ndoto Ya Ubongo ya Tatu Hii Hutokea Kila Mtu Unaota Ukiangalia Umelala Katikati Ya Kitanda Ila Unaona Kama Unadondoka Unaweweseka, Au Unaota Unaota Unakimbizwa Na Watu Simba Au Chochote Cha Kutisha Unakimbia Huku Unajilazimisha Kukimbia Zaidi Lakini Huna Speed Na Wao Hawakufikii.. Au Unaota Unadondoka Kwenye Shimo Kubwa Au Unaota Unamlazimisha Mschana Au Mvulana Mfanye Tendo Bila Kufanya Mbegu Zinatoka, Au Una Muota Mtu Uliezungumza Nae Mchana Anarudi Tena Ndotoni Au mtu Unaempenda Sana Au Kujikojolea Hizi Hutokea Pale Mtu Anapozidisha au Kujiover Dose Vitu Mwilini Either Chakula,Maji,drugs N.k...

Ushauri:
1: Usipende Kuhadithia Ndoto Zako Hovyo Kwa Kila Mtu Mhadithie Mtu Unaejua Ana Ufahamu Na Ndoto..

2: Kama Ni Mtu Unapenda Dini Muhadithie Kiongozi Wako Wa Dini Atakusaidia..

3: kuwa Na Msimamo Katika Mambo Yako Yote...

Nb: Ndoto Imekuona Ni P.M Takusaidia Kutafsiri Kadri Ya Uwezo...

Jf: Ukiona Haikufai Pita Mbali...

Me: I Used To Study People Psychology Since 2009-2012 My Teacher Was Cleo Clever If You Know Him... I'm Friendly To Everyone Bt I Cant Be In Friendship With Anyone...
 

tukiwasikiliza sana nyinyi Psychos mtatufikisha pabaya..
 
Ile hali ya kuwa unaota halafu labda ndoto ni mbaya basi unatambua kuwa uko ndotoni na kujiambia mwenyew kimoyomoyo kuwa ni ndoto tu, hii huwa ni nini?

Halafu kuota uko eneo ambalo uliwahi kuwepo zamani sana, hii ndoto inajirudiaga sana kwangu,,nini maana yake?
 

Kama tunaota pamoja yani, na mimi inantokea sana
 


Hiyoo ya kuota eneo ulikuepo zamani ni ya mizimu ya kwenu omba kabla hujalala
 

hiyo ni Aina Ya Tatu Ya Ndoto Ndoto Ya Ubongo.. Either Kitu Kilikukaa Sana Akilini Ukaota... Ni Sawa Na Kijana Anaeishi Kwao Akawaza Siku Moja Atakua Na Kwake Lakini Chanzo Hana.. Baadae Anakuja Kusema Kwamba Hapa Naota Ndoto Za mchana.. Karibu
 
I am pleased to note that we're still the home of the great thinkerz...
 
bahati mbaya sana nikishaamka nahisi nilikua ndotoni lakini sikumbuki kitu..:angry:

hiyo pia ni ndoto ya ubongo.. Lakini huwa pia ni ndoto ya shetan ambapo hukuotesha au wanga wanakuwangia inakua mtafaruku huku uote huku unachezewa huez elewa kitu.. Ni heri uwe unafanya ibada ili mungu akuongeze.. Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…