Nini tafsiri ya ndoto hii ?

soon utapata kazi nzuri sehemu uliyowahi kufanya kazi zamani
 
Wanakumiss mno hao watu pia wanakuhitaji ujiunge nao... Kemea kama bado unapenda kuishi.
 
hii ndoto kwa kawaida sio nzuri inatakiwa kama wewe mkristo iakatae kabisa hiyo hali kwa sababu ni roho ya mauti inakunyemelea wewe ,kuota watu waliokufa haitakiwi kabisa, mtu akishakufa amekufa basi, omba kataa
 
hii ndoto kwa kawaida sio nzuri inatakiwa kama wewe mkristo iakatae kabisa hiyo hali kwa sababu ni roho ya mauti inakunyemelea wewe ,kuota watu waliokufa haitakiwi kabisa, mtu akishakufa amekufa basi, omba kataa

Petro, Yohana na Yakobo pale mlimani walitokewa na wafu Eliya na Musa, je ilikuwa na maana gani?
 
Nimeota niko watu wengi sana waliokufa zamani, na mimi ndio kiongozi wao licha ya kwamba sijafa.
Nimejiuliza maswali mengi sana sijapata jibu

kama ndoto ya yule babu wa Samunge. Ulipaswa kuwafufua kwa kikombe.
 
Ndoto inaashiria kuwa una madeni mengi, pia unalala kwenye godoro la urithi wa babu yako marehemu so nikawaida ndoto za namna hio kutokana na mazingira tajwa.
 
inategemea na ndoto, ndoto kama ndoto sawa kawaida kuota lakin za kuota watu waliokufa wakaone watumishi kanisani watakusaidia ndg
 
Nimeota, nimekutana na mfanyakazi mwenzangu, amekuwa kipofu, nikamuuliza imekuwaje kanijibu ameugua ghafla na amekuwa kipofu, je kunamwenyekuweza kunisaidia ishara ndani ya ndoto hii?
 
Kama uliota unakimbizwa na mnyama yeyote yule halafu miguu imefunga
huwezi kukimbia. Hiyo ina maana kuwa siku ya leo mbaya wako atasutwa
na kuumbuliwa vibaya kwa tabia yake ya umbeya.
Kwa wanaume inamaanisha kuwa kama kutakuwa na maandamano yoyote
yawe ya vurugu au amani nenda usiogope kwani kama wataibuka
manjagu wewe ndio utaongoza kwa kufyatuka mbio hivyo hutakamatwa.


Kama umeota unafanya mapenzi basi jua kwamba hiyo ni dalili ya kuharibikiwa
mambo yako. Haraka fika ofisini kwangu Magomeni.


Ukiota unapaa angani hiyo ni dalili ya kuwa mambo unayoyafikiria hayawezekani.

Haya leteni ndoto zenu nitafsiri kama ni vigumu nione ofisini magomeni kagera!
 

Poa, ngoja niangalie wapi leo wanaandamana niende kushiriki...
 
ukiota unam Cameron shoga inamaanisha nini? Nalog off
 
ukiota unam Cameron shoga inamaanisha nini? Nalog off
Kama uko kijijini kuna uwezekano wa kuangukiwa na ukuta wa choo na kama uko mjini
unaweza kuteleza chooni na kupata ulemavu wa maisha. Ukiota hivyo unapoamka omba
Mungu akunusuru na mambo hayo na kama utafurahia ndoto yako hayo niliyoyataja
yatakukuta!
 
nimelala naota nahariri uzi jf kuhusu ndoto, hivi hii ni kweli???? hebu ngoja nijifinye kama nitastuka katika hii ndoto....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…