Nini tafsiri ya ndoto hii ?

hii ndoto kwa kawaida sio nzuri inatakiwa kama wewe mkristo iakatae kabisa hiyo hali kwa sababu ni roho ya mauti inakunyemelea wewe ,kuota watu waliokufa haitakiwi kabisa, mtu akishakufa amekufa basi, omba kataa

Yes
U a ryt!
Ni roho ya mauti!
 
Nimeota niko watu wengi sana waliokufa zamani, na mimi ndio kiongozi wao licha ya kwamba sijafa.
Nimejiuliza maswali mengi sana sijapata jibu

Wewe umekufa lakini unatembea, ipo kiimani zaidi.
 
Leo nimeota nazungumza na Rais mstaafu Ben Mkapa... Je tafsiri yake ni nini??
 
Mimi nimeota nahangaika na kifaranga kinakaribia kufa kila mtu alikua ananishangaa,kila nilipokua nakihafadhi kile kifaranga nikirudi tu nakuta kipo hatarini au kuna mnyama anataka kukishambulia na nisingeweza kukiacha sababu kila sehemu ilikua hatarishi kwake mara ya mwisho nilipoenda kukiangalia nilipokiacha nilikuta cheni ina maandishi lakini nisingeweza kuyasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…