Nini Tafsiri ya Tarakimu 666?

Nini Tafsiri ya Tarakimu 666?

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
242
Reaction score
676
Wakuu habarini za muda,nimekuwa mfuatikiaji sana wa mada za hapa jamii intelligence..
Sijawahi kuona uzi unaoelezea maana au fumbo lililopo katika zile tarakimu 666 kama zinavyoelezewa kwenye kitabu cha ufunuo 13:17-18 zingatia zaidi ule mstari wa 18.

Wakuu naombeni ufafanuzi nini tafsiri au maana ya hii tarakimu 666..
Naziona sana kwenye movie,mitandao ya kijamii na kwenye lebal zingine ila nashindwa kuelewa maana yake ni nini!
Screenshot_20180511-151408.jpg
 
Mark of the Beast.
Biblia ndicho kitabu pekee chenye unabii wa 666 ambaye ni mpinga KRISTO.
Na wote wenye dini zisizotumia Biblia wanazijua habari za mnyama 666
 
Back
Top Bottom