Nini tafsiri ya "the end of the beginning"

Wamajanga

Senior Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
133
Reaction score
47
maana wengine wanasema

"mwanzo mwisho"

na wengine wanasema

"mwisho wa mwanzo"

nani yupo sahihi
 
Msemo ambao mimi ninaujua ni "The Beginning of the End"

Yaani Mwanzo wa Mwisho...

Mfano mtu kabla hajafa kwa ugonjwa fulani ule mwanzo wa ule ugonjwa ndio ulikuwa ni mwanzo wa mwisho wake..

Au tajiri fulani aliyeanza ulevi hadi akafirisika tunaweza kusema ule ulevi ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wake, an mtu kumuacha mkewe na mambo kumuendea kombo tunaweza kusema kumuacha mke wake ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wake...
 
upo sahihi au ccm kuchakachua katiba ile kuchakachua ndio begining of the end ya utawala wa ccm
 
Msemo ambao mimi ninaujua ni "The Beginning of the End"

Yaani Mwanzo wa Mwisho...

Mfano mtu kabla hajafa kwa ugonjwa fulani ule mwanzo wa ule ugonjwa ndio ulikuwa ni mwanzo wa mwisho wake..

Au tajiri fulani aliyeanza ulevi hadi akafirisika tunaweza kusema ule ulevi ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wake, an mtu kumuacha mkewe na mambo kumuendea kombo tunaweza kusema kumuacha mke wake ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wake...

asee asante sana mana nmekuelewa vizuri sana
 
Back
Top Bottom