Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maana wengine wanasema
"mwanzo mwisho"
na wengine wanasema
"mwisho wa mwanzo"
nani yupo sahihi
upo sahihi au ccm kuchakachua katiba ile kuchakachua ndio begining of the end ya utawala wa ccmMsemo ambao mimi ninaujua ni "The Beginning of the End"
Yaani Mwanzo wa Mwisho...
Mfano mtu kabla hajafa kwa ugonjwa fulani ule mwanzo wa ule ugonjwa ndio ulikuwa ni mwanzo wa mwisho wake..
Au tajiri fulani aliyeanza ulevi hadi akafirisika tunaweza kusema ule ulevi ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wake, an mtu kumuacha mkewe na mambo kumuendea kombo tunaweza kusema kumuacha mke wake ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wake...
upo sahihi au ccm kuchakachua katiba ile kuchakachua ndio begining of the end ya utawala wa ccm
maana wengine wanasema
"mwanzo mwisho"
na wengine wanasema
"mwisho wa mwanzo"
nani yupo sahihi
Msemo ambao mimi ninaujua ni "The Beginning of the End"