Nini Tafsiri Yake?

Nini Tafsiri Yake?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Jana Mchana Nililala Katika Muda Mfupi wa Kulala nikaota ndoto napita kama kwenye uchochoro ninaofahamu Nikakuta Nyoka Mkubwa Jamii ya Chatu Chini ya Kivuli cha mti..

Nikarudi Nyuma taratibu nimtoroke yule Nyoka.. Baada ya kutoka pale Huyo Nyoka Mkubwa Hakunifuata.. ila kugeuka Nyuma Nikaona Kinyoka cha kawaida sasa kama Kinanikimbiza kiliponifikia nikaruka juu kidogo ili kipitilize.. baada ya Kupitiliza Nikaona Kikarudi tena Kama Kutaka Kunishambulia Hakikuning`ata na Mimi Nikaamka Hapo Hapo..

Je Nini Maana ya Hii Ndoto kwa Nyie Wataalamu?

Asanteni sana!
 
Wadau hii post Haionekani?
 
Sometimes, we look so deep into things that don't really matter.

It was just a dream mkuu, acha kujipa stress. Ukianza hivi mdogo mdogo utaanza kutafsiriwa kila kitu na zingine ni paranoia tu. So guess what kitatokea, utaanza imani potofu na kupotea njia hivi hivi tunakuona.

Soma dua lala.
 
Maana ya hiyo ndoto ni utafumaniwa... nyumba kubwa na ndoto zitakuweka mtu kati... aibu yao aibu yako...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom