Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Jana Mchana Nililala Katika Muda Mfupi wa Kulala nikaota ndoto napita kama kwenye uchochoro ninaofahamu Nikakuta Nyoka Mkubwa Jamii ya Chatu Chini ya Kivuli cha mti..
Nikarudi Nyuma taratibu nimtoroke yule Nyoka.. Baada ya kutoka pale Huyo Nyoka Mkubwa Hakunifuata.. ila kugeuka Nyuma Nikaona Kinyoka cha kawaida sasa kama Kinanikimbiza kiliponifikia nikaruka juu kidogo ili kipitilize.. baada ya Kupitiliza Nikaona Kikarudi tena Kama Kutaka Kunishambulia Hakikuning`ata na Mimi Nikaamka Hapo Hapo..
Je Nini Maana ya Hii Ndoto kwa Nyie Wataalamu?
Asanteni sana!