Nini tatizo la kupata vipere sehemu za siri?

Lipijema

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2015
Posts
830
Reaction score
1,223
Mke wangu anapatwa na tatizo hili mara kwa mara kwa sasa yapata miezi miwili! vipere hivi vinakuwepo nje ya sehemu take ya uke, nitumie njia gani kumaliza tatizo hili?msaada wenu tafadhali.
 
Mke wangu anapatwa na tatizo hili Mara kwa Mara kwa sasa yapata miezi miwili! vipere hivi vinakuwepo nje ya sehemu take ya uke, nitumie njia gani kumaliza tatizo hili?msaada wenu Tafadhali.

Kwanza nianze kwa kukupa pole kwa tatizo lililompata ' Shemela ' wetu kwani nina uhakika kuwa hata sasa ' Mbunye ' yake hakupi kutokana labda na kumuonea huruma na hivyo Vipele vyake au hata Yeye hana hamu ya Tendo kwakuwa tayari Kisaikolojia ameshaathirika na pengine huwa vinamuwasha pia.

Japo siyo ' Mtaalam ' sana wa masuala ya Tiba na Udaktari ila kwa utundu utundu wangu tu wa hapa na pale kuna uwezekano mkubwa ' Shemela ' wetu akawa na ' bacteria ' fulani au maambukizi ya Magonjwa yetu haya ya Zinaa ( ila siyo ule Hatari wa Dally Kimoko ) au yawezekana hata Wewe unavyomfanya / mbandua / mbaioloji labda huwa unatumia Vilainishi / Wese huku ukiwa unamsugua Kunakotukuka hadi unamuumiza na kumsababishia maumivu.

Mwisho nikuombe tu endelea kukaa hapa hapa JamiiForums utapata suluhisho lote kwani humu kuna Madaktari wa kweli na wa uhakika achana na Sisi Bush Doctors akina GENTAMYCINE na utaweza kumsaidia ' Shemela ' yetu huyo. Na nikuombe tu Mkuu siyo kwasababu ' Shemela ' ana hivyo Vipele basi ndiyo ' umsaliti ' bali vumilia hadi apone na ukizidiwa sana basi ' Punyetika ' tu haitodhuru kivile.
 
[emoji23]
 
Anko nakusalimia sana
 
Mke wangu anapatwa na tatizo hili mara kwa mara kwa sasa yapata miezi miwili! vipere hivi vinakuwepo nje ya sehemu take ya uke, nitumie njia gani kumaliza tatizo hili?msaada wenu tafadhali.
mkuu hapa watu tunaweza tukawa kunawaza vipere flani vinavyotokana na magonjwa fulani kumbe ikawa ni vya kuvyoa vuz* kwa wembe, na ni ngumu kusema uweke picha hapa labda tuvione, hebu kama sio vya kunyoa we nenda naye hospital akachunguzwe vizuri
 
Wahi hospitali ivo vipele sehemu za siri ni dalili za magonjwa mengi.
 
mkuu hapa watu tunaweza tukawa kunawaza vipere flani vinavyotokana na magonjwa fulani kumbe ikawa ni vya kuvyoa vuz* kwa wembe, na ni ngumu kusema uweke picha hapa labda tuvione, hebu kama sio vya kunyoa we nenda naye hospital akachunguzwe vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] picha tena!!!
 
Hahaha,mkuu naona unatumia kiswahil fasaha kabsa utafkir una phd ya kiswahili kutoka hapo chuo kikuu cha dsm.hahahah
 
mkuu hapa watu tunaweza tukawa kunawaza vipere flani vinavyotokana na magonjwa fulani kumbe ikawa ni vya kuvyoa vuz* kwa wembe, na ni ngumu kusema uweke picha hapa labda tuvione, hebu kama sio vya kunyoa we nenda naye hospital akachunguzwe vizuri
Naona mkuu umeongeza vijisabab vyako tuu ilimrad jamaa arushe mbunye ya mkewe,hahahah,watu mna mbinu mbadala
 
Class monitor moja ya madarasa ya Milembe.

Endelea na dozi naona hali yako inazidi kuendelea vizuri.
 
Naona mkuu umeongeza vijisabab vyako tuu ilimrad jamaa arushe mbunye ya mkewe,hahahah,watu mna mbinu mbadala
hayo mawazo yako mkuu, mimi huwa sina kabisa interests na ishu kama hizo. Na wala sikuwaza unachowaza.
 
Class monitor moja ya madarasa ya Milembe.

Endelea na dozi naona hali yako inazidi kuendelea vizuri.

Tanzania hatuna Hospitali iitwayo Milembe bali tuna Hospitali iitwayo Mirembe. Stupid!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…