Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wangu anapatwa na tatizo hili Mara kwa Mara kwa sasa yapata miezi miwili! vipere hivi vinakuwepo nje ya sehemu take ya uke, nitumie njia gani kumaliza tatizo hili?msaada wenu Tafadhali.
[emoji23]Kwanza nianze kwa kukupa pole kwa tatizo lililompata ' Shemela ' wetu kwani nina uhakika kuwa hata sasa ' Mbunye ' yake hakupi kutokana labda na kumuonea huruma na hivyo Vipele vyake au hata Yeye hana hamu ya Tendo kwakuwa tayari Kisaikolojia ameshaathirika na pengine huwa vinamuwasha pia.
Japo siyo ' Mtaalam ' sana wa masuala ya Tiba na Udaktari ila kwa utundu utundu wangu tu wa hapa na pale kuna uwezekano mkubwa ' Shemela ' wetu akawa na ' bacteria ' fulani au maambukizi ya Magonjwa yetu haya ya Zinaa ( ila siyo ule Hatari wa Dally Kimoko ) au yawezekana hata Wewe unavyomfanya / mbandua / mbaioloji labda huwa unatumia Vilainishi / Wese huku ukiwa unamsugua Kunakotukuka hadi unamuumiza na kumsababishia maumivu.
Mwisho nikuombe tu endelea kukaa hapa hapa JamiiForums utapata suluhisho lote kwani humu kuna Madaktari wa kweli na wa uhakika achana na Sisi Bush Doctors akina GENTAMYCINE na utaweza kumsaidia ' Shemela ' yetu huyo. Na nikuombe tu Mkuu siyo kwasababu ' Shemela ' ana hivyo Vipele basi ndiyo ' umsaliti ' bali vumilia hadi apone na ukizidiwa sana basi ' Punyetika ' tu haitodhuru kivile.
Anko nakusalimia sanaKwanza nianze kwa kukupa pole kwa tatizo lililompata ' Shemela ' wetu kwani nina uhakika kuwa hata sasa ' Mbunye ' yake hakupi kutokana labda na kumuonea huruma na hivyo Vipele vyake au hata Yeye hana hamu ya Tendo kwakuwa tayari Kisaikolojia ameshaathirika na pengine huwa vinamuwasha pia.
Japo siyo ' Mtaalam ' sana wa masuala ya Tiba na Udaktari ila kwa utundu utundu wangu tu wa hapa na pale kuna uwezekano mkubwa ' Shemela ' wetu akawa na ' bacteria ' fulani au maambukizi ya Magonjwa yetu haya ya Zinaa ( ila siyo ule Hatari wa Dally Kimoko ) au yawezekana hata Wewe unavyomfanya / mbandua / mbaioloji labda huwa unatumia Vilainishi / Wese huku ukiwa unamsugua Kunakotukuka hadi unamuumiza na kumsababishia maumivu.
Mwisho nikuombe tu endelea kukaa hapa hapa JamiiForums utapata suluhisho lote kwani humu kuna Madaktari wa kweli na wa uhakika achana na Sisi Bush Doctors akina GENTAMYCINE na utaweza kumsaidia ' Shemela ' yetu huyo. Na nikuombe tu Mkuu siyo kwasababu ' Shemela ' ana hivyo Vipele basi ndiyo ' umsaliti ' bali vumilia hadi apone na ukizidiwa sana basi ' Punyetika ' tu haitodhuru kivile.
mkuu hapa watu tunaweza tukawa kunawaza vipere flani vinavyotokana na magonjwa fulani kumbe ikawa ni vya kuvyoa vuz* kwa wembe, na ni ngumu kusema uweke picha hapa labda tuvione, hebu kama sio vya kunyoa we nenda naye hospital akachunguzwe vizuriMke wangu anapatwa na tatizo hili mara kwa mara kwa sasa yapata miezi miwili! vipere hivi vinakuwepo nje ya sehemu take ya uke, nitumie njia gani kumaliza tatizo hili?msaada wenu tafadhali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] picha tena!!!mkuu hapa watu tunaweza tukawa kunawaza vipere flani vinavyotokana na magonjwa fulani kumbe ikawa ni vya kuvyoa vuz* kwa wembe, na ni ngumu kusema uweke picha hapa labda tuvione, hebu kama sio vya kunyoa we nenda naye hospital akachunguzwe vizuri
Hahaha,mkuu naona unatumia kiswahil fasaha kabsa utafkir una phd ya kiswahili kutoka hapo chuo kikuu cha dsm.hahahahKwanza nianze kwa kukupa pole kwa tatizo lililompata ' Shemela ' wetu kwani nina uhakika kuwa hata sasa ' Mbunye ' yake hakupi kutokana labda na kumuonea huruma na hivyo Vipele vyake au hata Yeye hana hamu ya Tendo kwakuwa tayari Kisaikolojia ameshaathirika na pengine huwa vinamuwasha pia.
Japo siyo ' Mtaalam ' sana wa masuala ya Tiba na Udaktari ila kwa utundu utundu wangu tu wa hapa na pale kuna uwezekano mkubwa ' Shemela ' wetu akawa na ' bacteria ' fulani au maambukizi ya Magonjwa yetu haya ya Zinaa ( ila siyo ule Hatari wa Dally Kimoko ) au yawezekana hata Wewe unavyomfanya / mbandua / mbaioloji labda huwa unatumia Vilainishi / Wese huku ukiwa unamsugua Kunakotukuka hadi unamuumiza na kumsababishia maumivu.
Mwisho nikuombe tu endelea kukaa hapa hapa JamiiForums utapata suluhisho lote kwani humu kuna Madaktari wa kweli na wa uhakika achana na Sisi Bush Doctors akina GENTAMYCINE na utaweza kumsaidia ' Shemela ' yetu huyo. Na nikuombe tu Mkuu siyo kwasababu ' Shemela ' ana hivyo Vipele basi ndiyo ' umsaliti ' bali vumilia hadi apone na ukizidiwa sana basi ' Punyetika ' tu haitodhuru kivile.
Naona mkuu umeongeza vijisabab vyako tuu ilimrad jamaa arushe mbunye ya mkewe,hahahah,watu mna mbinu mbadalamkuu hapa watu tunaweza tukawa kunawaza vipere flani vinavyotokana na magonjwa fulani kumbe ikawa ni vya kuvyoa vuz* kwa wembe, na ni ngumu kusema uweke picha hapa labda tuvione, hebu kama sio vya kunyoa we nenda naye hospital akachunguzwe vizuri
Class monitor moja ya madarasa ya Milembe.Kwanza nianze kwa kukupa pole kwa tatizo lililompata ' Shemela ' wetu kwani nina uhakika kuwa hata sasa ' Mbunye ' yake hakupi kutokana labda na kumuonea huruma na hivyo Vipele vyake au hata Yeye hana hamu ya Tendo kwakuwa tayari Kisaikolojia ameshaathirika na pengine huwa vinamuwasha pia.
Japo siyo ' Mtaalam ' sana wa masuala ya Tiba na Udaktari ila kwa utundu utundu wangu tu wa hapa na pale kuna uwezekano mkubwa ' Shemela ' wetu akawa na ' bacteria ' fulani au maambukizi ya Magonjwa yetu haya ya Zinaa ( ila siyo ule Hatari wa Dally Kimoko ) au yawezekana hata Wewe unavyomfanya / mbandua / mbaioloji labda huwa unatumia Vilainishi / Wese huku ukiwa unamsugua Kunakotukuka hadi unamuumiza na kumsababishia maumivu.
Mwisho nikuombe tu endelea kukaa hapa hapa JamiiForums utapata suluhisho lote kwani humu kuna Madaktari wa kweli na wa uhakika achana na Sisi Bush Doctors akina GENTAMYCINE na utaweza kumsaidia ' Shemela ' yetu huyo. Na nikuombe tu Mkuu siyo kwasababu ' Shemela ' ana hivyo Vipele basi ndiyo ' umsaliti ' bali vumilia hadi apone na ukizidiwa sana basi ' Punyetika ' tu haitodhuru kivile.
hayo mawazo yako mkuu, mimi huwa sina kabisa interests na ishu kama hizo. Na wala sikuwaza unachowaza.Naona mkuu umeongeza vijisabab vyako tuu ilimrad jamaa arushe mbunye ya mkewe,hahahah,watu mna mbinu mbadala
nani ka request picha mkuu, au haujaelewa maelezeo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] picha tena!!!
Class monitor moja ya madarasa ya Milembe.
Endelea na dozi naona hali yako inazidi kuendelea vizuri.