Nini tatizo la mwanaume na mwanamke wenye makundi ya damu ya Rh- kwenye kupata watoto?

Geekunexpect

Member
Joined
May 4, 2016
Posts
50
Reaction score
33
Nn matatizo ya mwanaume ama mwanamke mwenye group la damu lenye negative rhesus factors katika kupata watoto?
Ushauri gani afuate kama ana hilo group?
 
Rh factor... ! Shida itakuja tu pale atakapopata mtoto mwenye rhesus factor positive... Na shida huwa inaonekana kama mtoto huyo anakuwa ni mtoto wa pili.. Hapo huwa ni mbaya kwavile mama anakuwa ameshatengeneza kinga dhidi ya mtoto..
Mtoto anaweza hata kufa kama mama hatopewa dawa za kushusha immunity yake... So kwa kusema hivyo.. Inabd mama apewe dawa za kushusha immunity kama itagunduliwa kuwa anamimba ya mtoto mwenye rh positive wakat yeye ni rh negative
 
ok.hiyo sawa na kama baba ana RH factor negative na mama positive na mimba ikatungwa,nn kitatokea kwan mtoto anaweza akawa kabeba RH factor negative ya baba huku mama ana RH factor positive??
 
Ninachojua Mimi nikua the problem is when a woman is Rh -ve while a man is Rh +ve, mtoto wa kwanza hatokua na shida ila wa pili hawezi kua compatible with life soo wanachokifanyanya wahudumu wa afya kuzuia ilo ni kuchoma sindano ya Ant Rh D immunoglobulin baada ya kujifungua mtoto wa kwanza
 
Mama anachomwa Anti D baada ya kujifungua mtoto wa kwanza..
 
ok.hiyo sawa na kama baba ana RH factor negative na mama positive na mimba ikatungwa,nn kitatokea kwan mtoto anaweza akawa kabeba RH factor negative ya baba huku mama ana RH factor positive??
Hapo haina shida...kumbuka kuwa mtoto anapokuwa kuwa tumboni kwa mama yake humtegemea kwa kila kitu hata immunity... Atakapo zaliwa hupewa immunity passively pale atakaponyonyeshwa maziwa ya kwanza..
 
Mimi Mwenyewe Group B+ Nina Rhesus Factor Za Kumwaga itanibidi Nitafute Mke Mwenye Rhesus Positive Kama mimi
 
mama atachomwa sindano endapo mtoto atachukua group tofauti na mama mfano mama group ni -negative na mtoto kachukua +positive ya baba hapo lazima mama achome sindano ndani ya masaa 72 after kujifungua ili kuwakinga watoto wataofata,,but kama mtoto atafata group ya mama i mean -negative basi mama hana haja ya kuchoma hiyo sindano na atazaa salama kwa watoto wanaofata.
 
Mi nina group B rh negative na mke wangu ana group O positive mwezi wa sita huu toka nipo nae hajapata mimba, je inaweza kuwa inachangiwa na hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…