Geekunexpect
Member
- May 4, 2016
- 50
- 33
Nn matatizo ya mwanaume ama mwanamke mwenye group la damu lenye negative rhesus factors katika kupata watoto?
Ushauri gani afuate kama ana hilo group?
Ushauri gani afuate kama ana hilo group?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ok.hiyo sawa na kama baba ana RH factor negative na mama positive na mimba ikatungwa,nn kitatokea kwan mtoto anaweza akawa kabeba RH factor negative ya baba huku mama ana RH factor positive??Rh factor... ! Shida itakuja tu pale atakapopata mtoto mwenye rhesus factor positive... Na shida huwa inaonekana kama mtoto huyo anakuwa ni mtoto wa pili.. Hapo huwa ni mbaya kwavile mama anakuwa ameshatengeneza kinga dhidi ya mtoto..
Mtoto anaweza hata kufa kama mama hatopewa dawa za kushusha immunity yake... So kwa kusema hivyo.. Inabd mama apewe dawa za kushusha immunity kama itagunduliwa kuwa anamimba ya mtoto mwenye rh positive wakat yeye ni rh negative
Hapo haina shida...kumbuka kuwa mtoto anapokuwa kuwa tumboni kwa mama yake humtegemea kwa kila kitu hata immunity... Atakapo zaliwa hupewa immunity passively pale atakaponyonyeshwa maziwa ya kwanza..ok.hiyo sawa na kama baba ana RH factor negative na mama positive na mimba ikatungwa,nn kitatokea kwan mtoto anaweza akawa kabeba RH factor negative ya baba huku mama ana RH factor positive??