Nini tena kimemsibu Hamorapa!!!!?

Nini tena kimemsibu Hamorapa!!!!?

Ana biashara zake huwa anafuata mzigo china ndiyo maana yupo busy hasikiki.
 
Wakuu kwema?
Hivi huyu mmakonde aliyepata kiki kwa ishu za ajabu ajabu kama vile kukimbia bastola iliyonyoshwa kwa mh Nape na mengine mengi mbona kimya.
Amepotelea wap wakuu.
Anayejua ukimya wake atupe ubuyu kiaina basi.
Kweni alivyokimbiaga bastola alisharudi?si niliona mpaka anapigwa tochi na trafiki lakini akalala na 120 speed kwenye kona

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Yuko kwenye kipindi cha Nirvana kesho naona alikua anatindwa nyusi na kupakwa make up. Niliona tangazo
 
BADO ANAKIMBIA BASTOLA MKUU, YUPO LINDI ANAITAFUTA MTAMA THEN MASASI

CHEZEA MGUU WA KUKU
 
Story huisha...

Maua hunyauka....

Kumbukumbu husahaulika...

Hii humaanisha kila kitu kinapita...


Cc: mahondaw
 
Leo kafanyiwa interview ea television

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Back
Top Bottom