D dickey Member Joined Jun 2, 2015 Posts 9 Reaction score 1 Jun 14, 2015 #1 Jf doctor niko na swali kwa tizo ambalo linamsumbua mdogo wangu, ako na miaka 19 sasa lakin mara kadhaa amekuwa akilalamika kuwa gonads zake zinamuuma, na inapotokea hushindwa hata kutembea vizuri, so atafanyaje ili apone ama tiba yake ni nni???
Jf doctor niko na swali kwa tizo ambalo linamsumbua mdogo wangu, ako na miaka 19 sasa lakin mara kadhaa amekuwa akilalamika kuwa gonads zake zinamuuma, na inapotokea hushindwa hata kutembea vizuri, so atafanyaje ili apone ama tiba yake ni nni???