Nini tiba ya ambaye gonads zake zinamuuma

Nini tiba ya ambaye gonads zake zinamuuma

dickey

Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
9
Reaction score
1
Jf doctor niko na swali kwa tizo ambalo linamsumbua mdogo wangu, ako na miaka 19 sasa lakin mara kadhaa amekuwa akilalamika kuwa gonads zake zinamuuma, na inapotokea hushindwa hata kutembea vizuri, so atafanyaje ili apone ama tiba yake ni nni???
 
Back
Top Bottom