Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara chache imeshanitokea lakini niligundua kujipakaa mafuta/lotion immediately ilinisaidia. Inawezekana ni kukauka kwa ngozi tu? Sina hakika
Poleni maana najua mpo wengi wenye hili tatizo, sometimes nahisi labda ni genetical factors ama nn sijui.
Fanyeni hivi huenda ikapunguza kwa kiasi kikubwa (sio lazima):
1. Ukishaoga usijifute na taulo acha mwili ujikaushe wenyewe, ukijifuta tu kosa utawashwawashwa hadi uchanganyikiwe. Jifute kichwani tu.
2. Kama ww sio mtu wa kupenda kuoga na kujisugua, basi walu ujisugue mara mbili kwa wiki (jisugue kikwelikweli sio kimasikhara)
3. Pendeni kuoga kwa kutumia sabuni ya magadi (ile ya mitaani kwetu).
Hizi njia namna tatu hizi zitakupunguzieni kwa kiasi fulani hivi.
NB: Mrejesho ni muhimu sana kwa ajili ya kuwasaidia wengine, kama upo home unaweza kujaribu hata sasa hivi. Furahia maisha!
Chaajabu:-
1.ukijisugua ndo balaa utawasha nazan saa inaweza fika
2. ukipaka sabuni zaidi ya mara moja ndo muwasho unavyo kuja kuongezeka
Hii sijui ni nini
King'asti amelala ila nitampa salamuAsante sana wana jf kwa ushauri wenu. asante King'asiti, asante UNDENIABLE Kwa ushauri wenu naona naelekea mafanikio yaani sasa hivi natoka kuoga, haaa nimejisugua, tena kwa jiwe pia wife kanisaidia mgongoni, kweli nimesugua,chaajabu kabla sijakauka muwasho ulianza lakini sio mkali kama zamani, sasa nimekauka na nimepaka mafuta muwasho haupo tena. du maajabu toka 2002 nasumbuka leo napata dawa tena rahiiisi, kweli JF sitoki. shukrani sana
kuna jamaa yangu yeye baada ya kila kumaliza kuoga na akisha jifuta maji tu au akikauka lazima mwili uanze kuwasha atajikuna kama dakika 20 hivi,tatizo hili linadawa?
Ikiwa ni wewe au huyo jamaa yako anayo hayo matatizo ushauri umetolewa hapo chini ikiwa bado hajapona huyo jamaa yako au ndio wewe hujapona waweza kunitafuta mimi dawa ya kukutibu ninayo kunipata mimi bonyeza hapa.Mawasilianokuna jamaa yangu yeye baada ya kila kumaliza kuoga na akisha jifuta maji tu au akikauka lazima mwili uanze kuwasha atajikuna kama dakika 20 hivi,tatizo hili linadawa?
Mkuu consciousluca Dawa ninayo ya kuweza kukutibia ukiweza nitafute kwa kubonyeza hapa.MawasilianoMaada nzur,hata mim ninalo tatzo hlo na cjui tiba yke.
Mara chache imeshanitokea lakini niligundua kujipakaa mafuta/lotion immediately ilinisaidia. Inawezekana ni kukauka kwa ngozi tu? Sina hakika