MY EYES
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 234
- 602
- Thread starter
- #21
Ahsante kwa ushauri mkuuHii ndio sababu inayofanya kutoa hio harufu,kwanza nenda kanunue ndimu weka kwapani kwa dakika 10 halafu sugua kwa dakika 3 hadi 5. Halafu nenda maduka ya manukato nunua deodorants inaitwa SURE ukipata ya spray ndio nzuri lakini hata ya roll on pia sawa tu.