Nini tiba ya tatizo hili

Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Ahsante kwa ushauri mkuu
Tupo pamoja mkuu fanya hilo shauri na hio kutumia ndimu fanya mara moja kwa wiki(mfano weka ndimu/limau siku moja kwa wiki) baada ya mwezi hio harufu haitakuwepo tena usisahau kutumia hio SURE.
 
Tupo pamoja mkuu fanya hilo shauri na hio kutumia ndimu fanya mara moja kwa wiki(mfano weka ndimu/limau siku moja kwa wiki) baada ya mwezi hio harufu haitakuwepo tena usisahau kutumia hio SURE.
Sawa mkuu pamoja sana
 
Zamani kaka yangu alikua na hilo tatizo akashauriwa kienyeji awe anapaka limau baada ya kumaliza kuoga iwe muda wowote akioga ila nzuri mara mbili yaani asubuhi na usiku kwa siku saba na hadi leo hana harufu hiyo tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia bicarbonate of soda kijiko kimoja weka kwa maji then tumia maji hayo kusafisha kwapa kila baada ya kuoga....................hakika utapona
 
OSHA kwapa Kwa vinegar kila siku morn and night

invest what you are willing to lose
 
Kutokwa na harufu mbaya kwenye makwapa hata kama umekoga.
Anha basi jaribu hii
Ukishaivisha ugali ukautoa nakuwka kwenye hotpot basi lile sufuria uliosongea ugali likuwa bado linamaukoko, lijaze maji alafu uyaache mda Ata dk 20 ivi, baada ya apo yachukue alafu kayaoge
Rudia Ata Mara 3 au Zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…