Uvimbe ama cancer naweza nkaenda mbali kidogo na wewe boss.........kwasababu kama Kuna uvimbe why damu inatoka mda mmoja tuu?,na kama Kuna cancer(malignant)why damu inatoka mara moja tuuh (yaani akiwa ananawa uso)
Chief umesoma Hx yake vizuri kuna vipengele ulitakiwa kuviangalia sana..Nahisi umevi-over look check hapa chini...
Rafiki yangu ana umri 35 ana tatizo la kutokwa na damu puani zaidi ya miaka 10,tatizo lilianza kipindi ameanza kazi ya fundi wa ujenzi!
Tatizo lake ni kwamba Kila aamkapo asubuhi wakati ana anawa uso damu zinatoka puani, wakati mwingine wakati amekaa tu damu zinatiririka!!
- Ntaanza na Damu puani Zaidi ya miaka 10
Chief huoni kwamba this Chronic Epistaxis no matter which aetiology mgonjwa atakayosema unatakiwa kuichukulia Kama red flag kutokana n duration yake..
Na kwa maelezo yake kuwa damu damu inatoka akinawa na pia akiwa amekaa tu huoni kama kuwa uwezekano mkubwa kuna pressure inaongezeka kwenye
Kiesselbach’s plexus ndo inayofnya Damu itoke nje ya
nasal septum..
Na pressure hiyo huenda inaweza kusababishwa na kazi yake kama ulivyosema lakini hata uvimbe iwe ni malignant au ni benign kama Polyp (Nasal polyp) also other neoplastic kama hemangioma, hemangiopericytoma, nasal papilloma, pyogenic granuloma, angiofibroma na hata carcinoma kama nilivyosema awali yote hiyo imetokana na duration ya Epistaxis
Na aliposema alipoanza kazi ya Ujenzi maybe it was caused by chemical irritant but haiwez kudumu kwa zaidi ya miaka kumi unless its recurent Irritation from chemical
Nimemuona
RO7 ZA MGOS Alivyocomments hapo naomba kusema pia kasema kweli kabisa kuna matatizo ya kutoka damu husababishwa na kiukoo pia na kitaalamu huitwa
Hereditary hemorrhagic telangiectasias "HHT" ambayo pia unaweza ukaita
Osler-Weber-Rendu syndrome..
lakini kuna vitu vingi ukiacha nilivyotaja hapo juu vinaweza kusababisha Damu puani...
kama irritant chemical,Platelets disorder na pia hata mazingira kama jua,Homa ambavyo vingine husababisha kupanda kwa pressure ya ndani ya pua etc..
na ndo maana nikashauri aende hospital wakampime mpaka viashiria vya Cancer (carcinogenic properties) ila pia Afanye CT sinus Na ikiwezekana hata MRI Sinus...(Japo Ct scan for Head vessel sijawahi kuiona)
Na vipimo not always kucomfirm the Dx (Diagnosis) but hata ku "rul out" the Thought aetiology..
Tuwe na safe side katika Kutibu ili isije ikwa Multidx na tukam-miss Mgonjw
na kama atafanya examination ya nasal endoscopy wanaweza wakajua kipi ni shida...