Clark cian
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 154
- 146
Sasa CT Scan ni kwaajili ya kuangalia tuuh muundo wa mishipa ya sehemu Fulani ilivyo.......sasa kama muundo wa mishipa hiyo kwenye sehemu husika ipo tofauti na inavyotakiwa basi hatua nyingine zitafuatwa .....Nimenda hii Sasa hawezi kuzuia hili tatizo kwa muda ama Moja kwa Moja mpaka aka CT scan
Ila kuzuia Kwa muda mshauri tuuh ajaribu kufanya kazi zake sehemu zenye kivuli itasaidia,pia kama ikiwa inatoka awe anajikanda na maji ya baridi kwenye uso huku akiwa amebana pua kuelekea juu Kwa sekunde kadhaa
Ila kama ikiwa bado Tena siku nyingine inatoka Baada ya kufanya yote haya basi mshauri aende tuu hospitalinj