Nini tiba ya tatizo la kutokwa na damu puani?

Nimenda hii Sasa hawezi kuzuia hili tatizo kwa muda ama Moja kwa Moja mpaka aka CT scan
Sasa CT Scan ni kwaajili ya kuangalia tuuh muundo wa mishipa ya sehemu Fulani ilivyo.......sasa kama muundo wa mishipa hiyo kwenye sehemu husika ipo tofauti na inavyotakiwa basi hatua nyingine zitafuatwa .....


Ila kuzuia Kwa muda mshauri tuuh ajaribu kufanya kazi zake sehemu zenye kivuli itasaidia,pia kama ikiwa inatoka awe anajikanda na maji ya baridi kwenye uso huku akiwa amebana pua kuelekea juu Kwa sekunde kadhaa


Ila kama ikiwa bado Tena siku nyingine inatoka Baada ya kufanya yote haya basi mshauri aende tuu hospitalinj
 
Asante mkuu nashukuru sana
 
Kuna Kenge watapinga kuwa si nguvu za Mungu (Yesu) zilizokuponya kwa imani uliyokuwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…