Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,806
- 7,424
KIfaranga kapata ugonjwa wa mwili kujaa hewa na kuwa kama puto, nini tiba ya haraka ?
conticipation,tumia parrafin fluid,famacy ya binadamKIfaranga kapata ugonjwa wa mwili kujaa hewa na kuwa kama puto, nini tiba ya haraka ? View attachment 3293604
Shukran mkuu. Sasa unasababishwa na nini ?conticipat
conticipation,tumia parrafin fluid,famacy ya binadam
utapata ,ni mafuta yanayosaidia hara watoto ambao hushindwa kujisaidia.Chakula hakijasgwa vizur tumbonShukran mkuu. Sasa unasababishwa na nini ?
Nipo kijijini, nisipoipata hio dawa kuna mbadala wake ?
Nilitaka kujua kama conspitation inasababisha mwili kujaa hewa, nisijetibu ugonjwa tofauti.mwangalie halo mkunduni kukoje