Nini tiba ya ugonjwa wa Kifaranga kujaa hewa mwilini?

Kwa hiyo huu ni ugonjwa wa kushi dwa kujisaidia ? Sasa mbona mwili u ajaa hewa na kuwa kama puto.
 
Mara nyingi ni upungufu wa virutubisho sahihi mimi imewahi kunitokea baada ya vifaranga a sasso kuwalisha pumba za mahindi tangu day one. nilikuwa nawachoma na sindano hewa inatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…